HONGERA SUGU ndio nini? Ndio ipoje hiyo HONGERA SUGU na isiyo sugu ipoje?kweli vitu maalumu noma sana HONGERA SUGU!
Tabia mbaya ya mahusiano yake kingono ni maisha yake binafsi!Hivi wanasiasa au viongozi wa juu tulionao au hata sisi jf hapa tukisema tuchunguzane maishe yetu kimahusiano wangapi ambao utakuta kawa na mtu mmoja tu tangu aanze mahusiano hadi kufikia umri wa Shy Rose?Jadili mada husika sio mambo yake ya chumbani.Hata hamjui kipi kiongelewe wapi!Hata mimi sifurahishwi na tabia yake ya kujitia anajua kila kitu na kiburi chake achana na tabia yake mbaya ya mahusiano ya kingono aliyokuwa nayo, Shy-rose hana lolote jipya la kuwapa wananchi ni kwa vile tu kakosa ubunge na malalamiko yako yametupwa na wale jamaa wamesmtumia na yupo katika list sasa amekuwa used ndo anapiga kelele
Aaaah me siafiki kwamba aje CDM,asije akatushibuda bule kama UJIRA WA MWIHA.
Nakubaliana na wewe kabisa. Kutokukubaliana mawazo na mtu sio sababu yakuhama chama unless one has a personal agenda like "Lyatonga Mrema, Shibuda etc". Kupingana kimtazamo kupo; na kwenye demokrasia wengi wataaamua wazo lipi/mtizamo upi ni sahihi. Baada ya hapo ni kuelekeza nguvu ku-support maamuzi ya wengi (Make the decision work). CCM wamempitisha incompetent individual (JK), hawana tena jinsi zaidi yakumpa mawazo yaku-survive mpaka 2015 or else surrender. CCM inatakiwa kujipanga/kuzaliwa upya ili iwe na watu makini wanaoweza ku-argue constructively bila mipasho na ushabiki. We need to have active people in both parties (NCCR, CCM, CUF, & CDM); with this we can guarantee to have a serious, productive Parliament.
mwalimu alikuwa na vision kubwa sana na nchi hii na kauli za kuhamasisha wakati ule ziliendana na vitendo but unfortunately kwa sasa misemao au kauli kama hizi si rahisi kutekelezeka kwani wananchi wameshakata tamaa kutokana na nchi inavyoendeshwa kwa mizengwe mizengwe...binafsi sifurahishwi kabisa na mambo yanayoendelea nchini hasa kwa kuanzia na kiongozi mkuu wa nchi ...ccm inabidi ishuke chini ikutane na wananchi wa kawaida waskie wamoni yao bila ya hivyo tutakuwa tunamwaga maji kwenye kinu...UHURU NA KAZI..!!
Shy-Rose Bhanji-Facebook
Dada Karibu sana Chadema. Kwa kauli hizi CCM watakuvua gamba muda si mrefu.
tatizo kwa Syhrose ni kuwa alijaribu sana kuukwaa uongozi kupitia CCM ikiwemo Ubunge viti maalumu na majimboni na hakufanikiwa pamoja na michangoi yake mingi.........................wapo wanaoamini ya kuwa ni mwathirika wa ubaguzi wa rangi lakini kubwa ni kuwa ndani ya CCM anaonekana hachaguliki...............................................na hizi ngebe zake watazitafsiri kuwa ..........................hazitaki mbichi hizi huku zimeiva......................
Chadema hamtaki models majukwaani? Atakuwa tayari kuvaa magwanda huyo? Kwa vile kisha yavaa ya yale ya chukua chako mapema huenda ataridhia tu.
mwalimu alikuwa na vision kubwa sana na nchi hii na kauli za kuhamasisha wakati ule ziliendana na vitendo but unfortunately kwa sasa misemao au kauli kama hizi si rahisi kutekelezeka kwani wananchi wameshakata tamaa kutokana na nchi inavyoendeshwa kwa mizengwe mizengwe...binafsi sifurahishwi kabisa na mambo yanayoendelea nchini hasa kwa kuanzia na kiongozi mkuu wa nchi ...ccm inabidi ishuke chini ikutane na wananchi wa kawaida waskie wamoni yao bila ya hivyo tutakuwa tunamwaga maji kwenye kinu...UHURU NA KAZI..!!
KAMA HUFURAHISHWI NA UTENDAJI WAKE WAKAZI UNAFANYA NINI HUKO MAMIIIIIIIIIIIIIIII HAMIA CDM KWA MAKAMANDA TULIOKOE TAIFA KWA PAMOJA TUNAHITAJI MIDDLE CLASS KAMA NYIE KWASANA ILITUKISEMA LEO NI MGOMO NCHI NZIMA BANK ZOTE WIZRA ZOTE TAASISI ZOTE HAZIFANYIKAZI NDIYO SERIKALI ITAJUA TUNATAKA NINI. HAMIA CDM TENA MIMI MWENYEWE NITAKUPATIA KADI
soon atakwenda CDM naona mwenendo wake huu watampotezea mbali