Sifurahishwi na utendaji wa mkuu wa nchi - Shyrose Bhanji

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,213
mwalimu alikuwa na vision kubwa sana na nchi hii na kauli za kuhamasisha wakati ule ziliendana na vitendo but unfortunately kwa sasa misemao au kauli kama hizi si rahisi kutekelezeka kwani wananchi wameshakata tamaa kutokana na nchi inavyoendeshwa kwa mizengwe mizengwe...binafsi sifurahishwi kabisa na mambo yanayoendelea nchini hasa kwa kuanzia na kiongozi mkuu wa nchi ...ccm inabidi ishuke chini ikutane na wananchi wa kawaida waskie wamoni yao bila ya hivyo tutakuwa tunamwaga maji kwenye kinu...UHURU NA KAZI..!!

Shy-Rose Bhanji-Facebook

Dada Karibu sana Chadema. Kwa kauli hizi CCM watakuvua gamba muda si mrefu.
 
Kama mtu kazoea ofisini ni kiyoyozi; ndani ya gari ni kiyoyozi; vikao nje ya ofisi ni hotel zenye viyoyozi; nyumbani ni viyoyozi unataka ashuke chini kukutana na wananchi ili akumbane na joto la Darisalama wakati yeye halijui?
 
Inabidi awe Makini asivuliwe Gamba la Uraia ingawa anachoongea nakubaliana nae asilimia mia kwa mia.
 
mmmmm!LEO ANAKUTANA NA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KUMI,nadhanii kasikia kilio cha huyu dada.
 
Yangu macho na masikio! Siku utamsikia Kingunge akisema hafuraishwi na utendaji mkuu wa kaya!
 
maneno yake yana ukweli. wana ccm wote wakiondokana na uoga wakaikabili kweli kutakuwa na mabadiliko ni vile tu tayari washachelewa saaaana.
 
mwalimu alikuwa na vision kubwa sana na nchi hii na kauli za kuhamasisha wakati ule ziliendana na vitendo but unfortunately kwa sasa misemao au kauli kama hizi si rahisi kutekelezeka kwani wananchi wameshakata tamaa kutokana na nchi inavyoendeshwa kwa mizengwe mizengwe...binafsi sifurahishwi kabisa na mambo yanayoendelea nchini hasa kwa kuanzia na kiongozi mkuu wa nchi ...ccm inabidi ishuke chini ikutane na wananchi wa kawaida waskie wamoni yao bila ya hivyo tutakuwa tunamwaga maji kwenye kinu...UHURU NA KAZI..!! Shy-Rose Bhanji-Facebook Dada Karibu sana Chadema. Kwa kauli hizi CCM watakuvua gamba muda si mrefu.
Nakumbuka facebook wakati wa uchaguzi ni kati ya watu waliokuwa wanampamba sana jk,nazani hizi kauli zmekuja baada ya kunyimwa viti maalum.Pole dadaangu n' karibu cdm
 
Shyrose anataka viti maalum chadema tu,madaraka hayo jaman watu waliyakosa ccm sasa anahagaika ovyo tu!
 
Nakumbuka facebook wakati wa uchaguzi ni kati ya watu waliokuwa wanampamba sana jk,nazani hizi kauli zmekuja baada ya kunyimwa viti maalum.Pole dadaangu n' karibu cdm
kupoteza mda kuingia kwenye page ya huyu demu,bora nitumie airtime yangu kucheck mashairi ya tupac shakur,huko nitapata falsafa za kimapinduzi,..nakupongeza una moyo.
 
Sijafurahishwa na kitendo cha huyu Dada kutoa kauli kama hii. Ki-ustaarabu kabisa angeweza kutoa maoni yake/ushauri kwa wahusika moja kwa moja ama katika vikao husika, kwani naye ni mmoja kati ya wana - CCM wenye uwezo na nafasi ya kusikilizwa.
 
Dear Shyrose,

You have said it all.
Then what the hell are you waiting from CCM? Just quit CCM and join the Party of intellectuals-Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM.
Shy-rose don't feel Shy to join CDM as you also look intelligent,brilliant and beautiful.

You're most welcome.
 
kha! upupu huu...........! au kwa kuwa hakukupa kiti maalum?? si anae mke wake? yaani we ulitaka amwache salma aje kwako? chukia mpaka upasuke!

Dear Shyrose,

You have said it all.
Then what the hell are you waiting from CCM? Just quit CCM and join the Party of intellectuals-Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM.
Shy-rose don't feel Shy to join CDM as you also look intelligent,brilliant and beautiful.

You're most welcome.
 
Huyu dada si muhindi ? Uhamiaji hebu niliteeni faili lake tumvue uraia,hawezi ropoka nchi ina wenyewe hii hahaha!
 
Haya ndio mambo ambayo mimi siyataki yaani mtu anapokosa nafasi ndio anajifanya kuwa msemaji wa haki wakati naye alikuwa na nia yakuingia huko kutunyonya damu!
 
Back
Top Bottom