Sifa za wanawake wenye ndevu

Kuota ndevu kwa mwanamke alongside kuwa na body hairs ni dalili ya hormones inbalance. Mkorogo unaweza kuchangia, but medical attention might be required.
NB: unajua hata kuwa na shingo nyeusi kupita mwili inaweza kusababishwa na ovarian cysts? Google...
imani kuwa wana bahati hasa financially...
but ndevu original
sio za mkorogo lol
 
Imani za ushirikina zinaanzaga hivi kuamini vitu visivyokuwa na ukweli!! Ujuzi ktk mambos hautegemei mtu kuwa na ndevu au sharubu hizo ni dhana tu. Mtu na ubunifu au utundu wake wengine maujuzi wanapata ktk makabila yao na wengi wenye maujuzi ya kikabila hawako vizuri kielimu wadau JF kataeni kuaminishwa katka dhana duni!
 
original.1
Ndevu hizi unamaanisha?
 
Mimi ni mwanamke mwenye ndevu mama yangu anazo bibi yangu mzaa mama anazo dada yangu anazo na wote hao wanaishi maisha yakawaida sana tu na wote wanaishi na waume zao hakuna aliekufa
Wala kuachwa kwa swala la utamu hapo cjui maana kila mtu ana siri yake ila mm kila mwanaume niliewahi kuwa nae huwa ananicfia kua ni myam na watofaut kuliko alikwahi kuwapitia ila nina maisha ya mawaida tu na bado cjaamua kuolewa pia hakuna mwenye maisha magum kiivo niyakawaida sana msituogope wala kutuona sisi ni watofaut
 
naweza kupewa nafasi na mimi nijionee huo utamu kivitendo?
 
ni mambo ya hormone tu...

hizi za kusema bahati nk. ni kutaka kuwafanya wasijisikie vibaya....

Angalizo: hapa sizungumzii ile midevu ya mkorogo
 
Shemeji/wifi yenu ana kandevu kamoja tu karefu kidevuni, nae anaingia hapa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom