sifa za wanawake wa Kinyiramba

Status
Not open for further replies.

Rukwa21

Senior Member
Apr 6, 2012
142
42
Ndugu wanajamiiforum naomba sifa za wanawake wa Kinyiramba nataka kuo huko

===================================================

Black Angel
Ndugu wana jamvi niwasalimu katika jina la yeye aliyetuumba. Mwenzenu nimeangushia moyo wangu kwa kabinti kamoja cha huko mkoani singida,kutoka kabila la wanyiramba. Sasa kabla sijachukua maamuzi yakwenda kujitambulisha kwao ningependa kujua tabia zao za asili,ili mbeleni niseje anza mwaga machozi mwanaume mimi.
 
unaposema ukarimu sanaa una maana gani kuna ukarimu wa aina nyingi. Nyama hiyo haina shida
 
Ndugu wanajamiiforum naomba sifa za wanawake wa Kinyiramba nataka kuo huko

Watakutisha kwa kila aina ya neno la kukatisha tamaa,
nikuambie kidogo, usiwe mvivu kunako 6x6, failier to that utampa upper say ndani kwako which will apear kama kutawaliwa na my wife wako.

Element za ujeuri wanazo hasa ikiwa mtihani wa kwanza utapata maks za chini, ni wachapa kazi kwa wastani, ni walezi wazuri, uaminifu wa ndoa utautengeneza wewe mwenyewe. They are very sweet in bed (hili sikwambii saaana kwani wewe kwisajua)

Najua unapenda kujua kuhusu juju a.k.a Usangoma, hiyo ni ingredient muhimu kukamilisha na kudumisha mila, ingawa inatofautiana kutoka sehemu moja na nyengine.

Hawapendi ukewenza, ujiepushe na nyumba ndogo ama la sivyo utaharibikiwa mazima. Naweza kukupa zaidi, nikwambie jambo moja nalo ulizingatie, wanawake wa kinyiramba wanakuwa wake bora, wamama bora sana ukilinganisha na wanawake wa makabila mengine.

Nimewapigia promo la ukweli, kazi kwao wanyiraaaa.
 
Mnyiramba akikudondokea anakudondokea mazima.
Kitu kingine muhimu sana wanapenda sana mchezo wa 6*6 sasa ukiwa mchovu ni hatari kwako lakini ukiwa fundi basi atakuganda kama luba!
 
Mnyiramba akikudondokea anakudondokea mazima.
Kitu kingine muhimu sana wanapenda sana mchezo wa 6*6 sasa ukiwa mchovu ni hatari kwako lakini ukiwa fundi basi atakuganda kama luba!

Aisee! hivi fort ikoma kuna wanyiramba?
 
Mtumishi umepotea njia hapa sio mlimani. Tunao wanyiramba wakurya, unafahamu sehemu inaitwa Iramba pande za Ngoreme?

Nimepata maono kuwa kuna mwanakondoo anayeshuhudia,hahaha hizo pande sizijui nilidhani pande za mugumu mpaka fort kuna mixture ya wanyiramba na waikoma..lol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom