Sifa za wanawake wa DSM, utaoa au huoi?

Unachosema kaka ni sahihi kabisa; huwezi ukatofautisha baa meid ni yupi na waofisini ni yupi na wanyumbani ni yupi? wengine wanabeba madaftari waonekane wanafunzi, na wengine wanasubiri daladala stand utadhani wanaenda kazini kumbe hakuna lolote. Yuko tayari kuazima nguo, cheni, viatu, handbag hata simu alimradi na yeye aonekane anazo. Wote huo ni uwongo.

Mwanamke wa Dar ni muongo. Akijua tu kudanganya
basi hiyo imekula kwako. Atakuwa na sura mbaya,
atakudanganya na urembo. Atakuwa
mweusi tiii atakudanganya na mkorogo.
Atakuwa na tabia mbaya, atajificha
kwenye kivuli cha kwaya.
Mwanamke wa Dar lazima awe anajua
kudanganya.
 
ww vp?wanawake wa mjini na wakijijini wote sawa,alafu sio wanawake wote wa mjini tabia zao sawa,unaweza ukaoa kijini na ukakuta msichana anatabia sawa na wamjini kwaiyo wasina wote sawa kama umeamua kuoa ww hoa2 usichague uyu vp?yule vp?
 
Unachosema kaka ni sahihi kabisa; huwezi ukatofautisha baa meid ni yupi na waofisini ni yupi na wanyumbani ni yupi? wengine wanabeba madaftari waonekane wanafunzi, na wengine wanasubiri daladala stand utadhani wanaenda kazini kumbe hakuna lolote. Yuko tayari kuazima nguo, cheni, viatu, handbag hata simu alimradi na yeye aonekane anazo. Wote huo ni uwongo.

una dada anaishi dar ?ndo anafanyaga ivo?
any ways ...kuaribu calories kwa u.pu.u.zilism i wl b so..its beta nikale kiporo mie nishibe nilale.......
 
Mwanamke wa Dar ni muongo. Akijua tu kudanganya
basi hiyo imekula kwako. Atakuwa na sura mbaya,
atakudanganya na urembo. Atakuwa
mweusi tiii atakudanganya na mkorogo.
Atakuwa na tabia mbaya, atajificha
kwenye kivuli cha kwaya.
Mwanamke wa Dar lazima awe anajua
kudanganya.

bebiii kapenge kamasi kwanza..
 
Mbona imekutachi/imekuchoma sana wewe mojawapo nini?
nina wasiwasi ni mmoja wao. kwanza huwa anachangia karibu kila thread sijui hata anafanya kazi gani na ni saa ngapi? kposts nying sana anacomments sijui anashinda nyumbani na laptop au simu?
 
Unachosema kaka ni sahihi kabisa; huwezi ukatofautisha baa meid ni yupi na waofisini ni yupi na wanyumbani ni yupi? wengine wanabeba madaftari waonekane wanafunzi, na wengine wanasubiri daladala stand utadhani wanaenda kazini kumbe hakuna lolote. Yuko tayari kuazima nguo, cheni, viatu, handbag hata simu alimradi na yeye aonekane anazo. Wote huo ni uwongo.
kweli wasichana wote ni waongo sio wa mjini tu lakini ata wanaume ni waongo, pia mapenzi ni uongo kwasababu unaweza ukaoa na ukatoka nje ya ndoa,na unaweza ukaolewa na ukatoka nje ya ndoa.
 
nina wasiwasi ni mmoja wao. kwanza huwa anachangia karibu kila thread sijui hata anafanya kazi gani na ni saa ngapi? kposts nying sana anacomments sijui anashinda nyumbani na laptop au simu?
inamaana ujui tabia za mkeo?na inamaana umeoa bila kumchunguza,unatakiwa kuchunguza kwaza alafu ndio uoe.
 
nina wasiwasi ni mmoja wao. kwanza huwa anachangia karibu kila thread sijui hata anafanya kazi gani na ni saa ngapi? kposts nying sana anacomments sijui anashinda nyumbani na laptop au simu?

nashinda na simu ya baba yako.
na wewe unapata mda wa kusoma post zoteeeeeeeeee umu?mpk unione?duu unatisha..
 
Mwanamke wa Dar ni muongo. Akijua tu kudanganya
basi hiyo imekula kwako. Atakuwa na sura mbaya,
atakudanganya na urembo. Atakuwa
mweusi tiii atakudanganya na mkorogo.
Atakuwa na tabia mbaya, atajificha
kwenye kivuli cha kwaya.
Mwanamke wa Dar lazima awe anajua
kudanganya.

Sijaelewa. Una maana gani? Una maana gani unaposema mwanamke wa Dar? Mke wa Kikiwete, Mke wa Gavana Nduru ana Mke wa Mhando wa Tanesco? au ni wanawake wa Manzese, wale walala hoi wanaocheza mdundiko? Au ni machangudoa?

This thread leaves a lot of questions unanswered.
 
Unachosema kaka ni sahihi kabisa; huwezi ukatofautisha baa meid ni yupi na waofisini ni yupi na wanyumbani ni yupi? wengine wanabeba madaftari waonekane wanafunzi, na wengine wanasubiri daladala stand utadhani wanaenda kazini kumbe hakuna lolote. Yuko tayari kuazima nguo, cheni, viatu, handbag hata simu alimradi na yeye aonekane anazo. Wote huo ni uwongo.

This is abuse to all women in Dar. How could you group or categorize them in such a way? You need your head examined!
 
sasa ukioa kijijini ukampeleka dar aftr 2 yrs si na yy atakuwa wa dar tu? tena afadhali wa dar mzoefu,hao wa chijijini ndo huwa wanadandia gari kwenye bonnet,lazma aishie uvunguni. wanaume wa dar waongo ndo maana nao wanadanganywa na wanawake, ulishawahi kuwaza hivi?
Sasa hapo umetofautiana vipi na mimi??! Nimesema watakuwepo wanaofaa. Kuonyesha napingana na mtazamo wake. Halafu nikajibu swali lake kuwa hata kwa bunduki sioi Dar, au hujaona swali?! Sina haki ya kuamua naoa kutoka wapi? Nadhani swali lake lina majibu matatu: naoa, sioi, sijui!!!
 
Back
Top Bottom