Sifa za waenda vyuo:.......

Status
Not open for further replies.
wanaosoma elimu ambayo iko "updated" yaani elimu inayoendana na wakati .... USA, UK
 
umenena mkuu maana wengine wanahisi kusoma chuo chenye jina basi na wao wataonekana wana akili sana kumbe wengine ni vilaza wa kutosha na kila semester wana sup

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Chimala Mbeya.
 
na sisi wa chuo cha nyuki arusha je?vp wale wa datastar college nao wana sifa gani?
 
Mkuu mapovu ya nini? Au umesahau ni jukwaa la utani?

We lazima utakuwa kwenye kundi la waliokosa vyuo kabisa
 
Udsm wakukrem na kucreate mgogolo na kukidropisha chuo. Badala ya kukiap grade. From 13 rank in Africa up 2 somewhere in hell. Vilaza wamejaa huko duuuu.
Haya chei chei
 
Udsm wakukrem na kucreate mgogolo na kukidropisha chuo. Badala ya kukiap grade. From 13 rank in Africa up 2 somewhere in hell. Vilaza wamejaa huko duuuu.
Haya chei chei

We kama siyo wa UDOM basi utakuwa RUCO kwa waliokosa vyuo kabisa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom