Sifa za serikali ya tanzania chini ya chama tawala cha ccm

malkiory

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
270
24
* Vitisho/udikteta//ukiritimba Ukaidi/ujeuri/ulevi wa madaraka/kupuuzia = Kukwepa midahalo, chuki dhidi ya vyama vya upinzani na kuviita copyright
* Dharau/kiburi/uozo/Ukosefu wa sera/dira= Rais kunadi mafisadi,kutoa ahadi zinazozidi mgombea umri, ahadi ambazo hazitekelezeki
* Matumizi mabaya ya fedha za umma na ofisi= Riziwani, mama Salma, bajeti ya chai Ikulu, safari za nje, ununuzi wa rada, ndege ya rais, ununuzi wa mashangingi, ukubwa baraza la mawaziri
* Kufilisika kimawazo/Uongo/unafiki= Makamba, Kinana, Msekwa, Chiligati
* Ubinafsi/kulindana/undugu= Watoto wa vigogo kupewa upendeleo katika ajira na siasa mfano mtoto watoto wa makamba, mtoto wa JK na mtoto Mizengo Pinda wakati wazazi wao wangali bado madarakani.
* Ufisadi= Chenge, Mramba, Rostam, Lowassa, Aden Rage, Liyumba, Mgonja
 
  1. * Vitisho/udikteta//ukiritimba Ukaidi/ujeuri/ulevi wa madaraka/kupuuzia = Kukwepa midahalo, chuki dhidi ya vyama vya upinzani na kuviita copyright
    [*]* Dharau/kiburi/uozo/Ukosefu wa sera/dira= Rais kunadi mafisadi,kutoa ahadi zinazozidi mgombea umri, ahadi ambazo hazitekelezeki
    [*]* Matumizi mabaya ya fedha za umma na ofisi= Riziwani, mama Salma, bajeti ya chai Ikulu, safari za nje, ununuzi wa rada, ndege ya rais, ununuzi wa mashangingi, ukubwa baraza la mawaziri
    [*]* Kufilisika kimawazo/Uongo/unafiki= Makamba, Kinana, Msekwa, Chiligati
    [*]* Ubinafsi/kulindana/undugu= Watoto wa vigogo kupewa upendeleo katika ajira na siasa mfano mtoto watoto wa makamba, mtoto wa JK na mtoto Mizengo Pinda wakati wazazi wao wangali bado madarakani.
    [*]* Ufisadi= Chenge, Mramba, Rostam, Lowassa, Aden Rage, Liyumba, Mgonja

    mmmhhhh
 
Back
Top Bottom