Sifa za kuwa mwanasiasa wa CCM!

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Ili uwe mwanasiasa hasa kwa ccm,itakupasa uwe na sifa zifuatazo.
1.Uwe mwongo na mnafiki,hii ina maana kuwa hata kama jambo si zuri,itakupasa ulitetee kwa nguvu zote,
2.Uwe Mshirikina,suala la kwenda kwa waganga haliepukiki,na hasa kwenye nyakati za uchaguzi,pia uwapo madarakani!
3.Pia uwe una uwezo wa kutoa hongo,(rushwa) ya aina yeyote,iwe ya pesa kwa raia(wapga kura) au hata ya nguo(fulana na khanga),na ikiwezekana Ya Ngono(wapo wabunge walikiri kwenye semina fulani)
nyingne ziendeleze
 
Ukubali kuwa fikra za mwenyekiti wa chama hazipingwi hata kama za kipumbavu! wewe ndiooooooooooo!
 
1. usiwe na uwezo wa kufikiri
2. uwe mkosefu wa maadili
3. usiwe unayejali maendeleo ya nchi
4. uwe mpenda ufisadi na matendo yanayoambatana na ufisadi
 
kama ni mwanamke sharti la kwanza ili uwe waziri ndoa yako iwe isiyoeleweka na mumeo na ikibidi uwe umeachika au huna mume kabisa
lazima uwe tayari kuwa 'mboga' au godoro la wakubwa
 
wanasiasa wote ni waongo wanafiki bila kujali itikadi za chama chao.Nalog off
 
Back
Top Bottom