Sifa za kupata Kitambulisho cha Uraia 2012

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
SHERIA ya urai haitambui urai wa nchi mbili na raia wa Tanzania anayestahili kuwa na kitambuklisho cha urai anatakiwa awe na sifa zifuatazo:
a) Aliyezaliwa katika nchi ya Tanzania wazazi wake wote wawili wakiwa Watanzania.
b) Aliyezaliwa Tanzania mzazi wake mmoja akiwa Mtanzania na asiwe na uraia wa nchi nyingine yeyote.
c) Aliyezaliwa Nje ya Tanzania wazazi wake wote wakiwa Watanzania lakini akiwa hajaukana uraia wa Tanzania.
d) Aliyezaliwa nje ya Tanzania mzazi wake wa kiume akiwa mtanzania lakini akiwa hajaukana uraia wa Tanzania.
e) Aliyezaliwa Tanzania kwa miaka 20 na kuomba uraia wa Tanzania baada ya kuukana urai wa nchi atokayo.
 
Back
Top Bottom