Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za kujiunga na vyuo vya kilimo na afya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Yes or No, Sep 29, 2011.

 1. Y

  Yes or No Senior Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba kufahamishwa sifa za kujiunga na vyuo vya Kilimo na Afya ngazi ya Cheti na Diploma ambavyo vipo chini ya NACTE. Nimepitia websites za NACTE na wizara husika sijaona - kuna orodha ya vyuo tu na vyuo vyenyewe havina websites. Wizara ya Mifugo na Elimu ndio bado matangazo yao yapo na unaweza pata sifa hizo.

  Natanguliza shukran.
   
 2. j

  john petro New Member

  #2
  Jan 25, 2013
  Joined: Jan 25, 2013
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkubwa ucwe mshamba c tafuta.Au umetumwa nn?
   
 3. k

  kidogodogo New Member

  #3
  Jul 17, 2013
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Helo
  Niandikie kiswahili au jf ni kwa wanaojua kiingereza tu.
   
 4. K

  Kayandakayanda New Member

  #4
  Aug 13, 2013
  Joined: Aug 8, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwel c wana jf wote wanajua kingereza.ila fanya ujifunze ingalau coz ya miez3 mana cku hz bla kujua kngereza....,.
   
 5. S

  Sheko JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2013
  Joined: Mar 9, 2013
  Messages: 290
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mjibuni jamaa anachotaka sio mnatoka nje ya mada
   
 6. f

  fred beng Senior Member

  #6
  Aug 14, 2013
  Joined: Mar 31, 2013
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  afya ngaz ya chet unatakiwa uwe na DDD katika pcb ila math na kingereza ni sifa ya ziada pia chet chako cha kidato cha 4 kioneshe 28 points ya div 4
   
Loading...
Similar Threads - Sifa kujiunga vyuo Forum Date
Msaada: Naomba kujuzwa sifa za kujiunga ualimu ngazi ya cheti Jukwaa la Elimu (Education Forum) Mar 19, 2016
Tuliokosa sifa za kujiunga elimu ya juu twende tuanze foundation course Jukwaa la Elimu (Education Forum) Nov 24, 2015
Sifa ya kujiunga chuo Jukwaa la Elimu (Education Forum) Jun 16, 2015
Ni zipi sifa za kujiunga na vyuo kwa hawa form 4 wa mwaka huu? Jukwaa la Elimu (Education Forum) Apr 22, 2014
Nini itakuwa sifa ya kujiunga na a-level na vyuo vingine Jukwaa la Elimu (Education Forum) Feb 22, 2014

Share This Page