shizukan
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 1,158
- 563
Ndio nimeanza maskani mjini Arusha ningependa kujuzwa na wale 'wazoefu' kuhusu wadada wa ki-meru hasa tabia na kama ni 'wife materials'
Nimetumia muda mwingi kucheka kuliko kufikiria hatma ya nchi yetu ambayo sisi ndio wenyewe. Labda mimi niulize swali: Hicho ndio kilichokupeleka Arusha?
Kesho utahamia Singida napo tupate kazi ya kukueleza wanawake wa Kinyaturu na Kinyiramba walivyo. Sasa kazi tutakuwa nayo siku ukienda Tanga. Labda mimi nikushauri jambo ndugu yetu uliyeamua kutushirikisha kwenye uzinzi, hiyo shughuli yako ya msingi ifanye kwa CONDOM. Wawe wana kiburi au hawana UKIMWI WANAO.
Vipi wanaume, hutaki kuwajua? Wanakabaaaaa! Wanachoma visuuu! Wanakufanya hamna ukiwadhulumu chalii yangu.....bora na wanawake.