Sifa na tabia za wameru

Status
Not open for further replies.

Mamzalendo

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,670
558
Ndugu zangu naomba mniambie sifa au tabia za wameru kila mmoja kwa nafasi yake na mtazamo wake. nauliza kwa sababu nimemsikia mtu akisema yeye hawezi kukaa na wameru hata sekunde akaulizwa na mbinguni je ukiwakuta utafanyaje akasema nitatoka. nilipotaka kudadisi nijue undani akawa ameshaondoka na sikuwa na contact zake, embu nisaidieni? binafsi nimekutana nao na sijaona shida yao lakini sielewi kwa nini mtu anaweza sema hivyo.

ahsanteni.
 
kwa wadada wamekeketwa halafu wanashea nanihii yani ukioa unaweza tembea na ukoo mzima!!! uchafu mtupu
 
kwa wadada wamekeketwa halafu wanashea nanihii yani ukioa unaweza tembea na ukoo mzima!!! uchafu mtupu

duuuuuh hi kali embu niambe zaidi, unajua nimemuuliza ndugu yangu yupo arusha akaniambia hajawahi sikia mtu akimsifia mmeru mi nikajua ni mambo ya zamani tu ina maana mpaka sa hivi wako hivi?
 
Ninachoelewa ukiowa mmeru ujue yeye ndiye atakuwa mtawala wa nyumba.ndugu zake ndio watakuja lakini upande wako patakuwa na kazi hatajitaidi mlinzi,house b/g wote wawe meru au masai.niwachoyo sanaaaaa!
 
kwa wadada wamekeketwa halafu wanashea nanihii yani ukioa unaweza tembea na ukoo mzima!!! uchafu mtupu
Hayo mambo ya kizamani.....wameru wako church-oriented,kanisa la kilutheri linapinga kutahiri wanawake,kuhusu kugawa hiyo inategemea na mtu binafsi,acheni u-primitive!
 
Ninachoelewa ukiowa mmeru ujue yeye ndiye atakuwa mtawala wa nyumba.ndugu zake ndio watakuja lakini upande wako patakuwa na kazi hatajitaidi mlinzi,house b/g wote wawe meru au masai.niwachoyo sanaaaaa!
du,na je nikiolewa huko mambo yako vp?ndio hvyohvyo last say ni mme 2?
 
Hayo mambo ya kizamani.....wameru wako church-oriented,kanisa la kilutheri linapinga kutahiri wanawake,kuhusu kugawa hiyo inategemea na mtu binafsi,acheni u-primitive!
embu tupe sifa zao za sasa?ili tusiamini hizi za uprimitive,
 
Ikatokea mdada wa kimeru akakuzimikia na mama yake akakupenda.ebwanaee unaweza kuowa mahari ulete baadae wamama wananguvu sana katka maamuz ya watoto wao.sifa yao kubwa wapo kama wamachame akikupenda ukileta makitu ya ajabu ya kupendapenda nje ahaa faster unaweza kutana na israel.
 
Wameru ni washari sijapata kuona hawana tofauti na Wakurya,pia ni wagomvi kupindukia,leo anaweza kukuzia shamba kesho anabadilika na kudai uondoke,atawaita wanakijiji wenzake waje wakuvamie,wao katika ugomvi wanategemea sana mapanga,visu ,ngumi kavu kavu hawaziwezi na pia ni kama mbwa mwitu ukimpigana na mmoja kesho analeta kundi,hata mimi siwezi kukaa na Mmeru tukaongea la maana,pia wanajifanya wajuaji zaidi na wanapenda sana hela ,hapo arusha dada zao ndio wengi vyangudoa na hilo hawana aibu nalo na hao akina dada pia ni wababe usitegemee utamukopa
 
wanaume wao ni wakorofi hawana tofauti sana na wasonjo lakini wanashare mila nyingi na wamasai,mwanamke hana sauti huko kidogo wanakuwa wapole wakioa asiye mwenyeji wa huko,wanawake wengi ni wapole kutokana na asili ya wanaume walio nao,ni wakarimu na watafutaji maana wanaume wa kimeru umri ukienda wao wanasubiri kuhudumiwa,Kwa ujumla wengi ni wachamungu
 
Wameru ni washari sijapata kuona hawana tofauti na Wakurya,pia ni wagomvi kupindukia,leo anaweza kukuzia shamba kesho anabadilika na kudai uondoke,atawaita wanakijiji wenzake waje wakuvamie,wao katika ugomvi wanategemea sana mapanga,visu ,ngumi kavu kavu hawaziwezi na pia ni kama mbwa mwitu ukimpigana na mmoja kesho analeta kundi,hata mimi siwezi kukaa na Mmeru tukaongea la maana,pia wanajifanya wajuaji zaidi na wanapenda sana hela ,hapo arusha dada zao ndio wengi vyangudoa na hilo hawana aibu nalo na hao akina dada pia ni wababe usitegemee utamukopa

Je ni kweli wadada wao wamekeketwa???
 
The list continues!!!

Lete mambo, naona kama kweli vile maana ninaye mmoja wa kimeru...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom