Sifa na tabia za mabinti na wanawake wa Kihutu.

Hujui lolote kaka kwani katika jamii ya waha wa mkoani kigoma kuna tabaka tatu yaani watutsi,wahutu ,watwa kama jamii za wanyarwanda na warundi kwa hiyo unapo sema waha hujui ulizungumzalo maana waha ni mjumuisho wa tabaka hizi tatu hivyo maswara ya upambe na kudharau kabila za wengine acha kabisa QUOTE="stephot, post: 4072874, member: 72725"]Uchafu hasa wa ndani ya nyumba na body hygenie,inabidi uwe mkali kwa hilo na hawajipendi sana(wengi wao),pia ubishi itabidi ulivumilie hilo maana hawana tofauti sana na waha.[/QUOTE]
 
Muha huyu 😀😀😀👆👆
Lkn inasemekana kua waha ni kabila the best ndio maana wame wasifu ila ktk uchafu nyumbani hilo namm naunga mkono yaani hawajipendi ila niwachapa kazi
 
Wachafu sana kama waha narudia tena ni wachafu sn kama waha unaweza kuta kakojoa hata kwny jagi la maji ya kunywa na kaliweka uvunguni au unaweza kuta pedi iliyotumika IPO uvunguni au nguo Safi na chafu zmechanganywa na Hana hbr
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom