Sifa na tabia za mabinti na wanawake wa Kihutu.

ukimwacha huyo mrembo utakuja kujilaumu kiburudisho, ni wacheshi na wachapakazi sana. kwa ujumla ni kama wale jamaa zetu wa kigoma yaani waha! huwa ni waaminifu sana na wachapa kazi kuliko kawaida na zaidi ya yote ni wavumilivu sana wa matatizo kama yatawatokea katika maiha yenu...kwa ujumla hawayumbishwi na vitu vidogovidogo...sam as waha wa kigoma as they speak the same language but a bit/slight different tonation! Beba kitu hicho usiache!!!!
 
Duh kila mmoja anasema lake hapo ndo ujue uhusiano ni wa wawili na wala hutakiwi kuingiliwa na mtu mwingine
 
nachojua hawa watu wana katabia fulani kakibaguzi japo mwanzo huwa makuchwa wanayaficha..wao huwa hawaoni kama ni tabia mbaya sana kutokana na culture yao ila kwa mbongo ambaye hujui kumbagua mtu utaona tofauti kubwa sana ...
ila all in all beba zigo tu ndoa haziishi kero
 
....nasikia watoto wote wakiwa wakubwa lazima warudishwe rwanda.....just imagine mkuu umefariki dunia leo, huyo sista ataishi bongo? atawakumbuka wazaziwe? je hiyo generation ako c itakuwa imepotelea hewan....maoni angu tu
 
7130.jpg

Huyu mtusi bwn.
 
ni warembo ila wanajivimambo vya ajabu sana huwa hawana huruma yaani utu kwao ulisha isha kabisa
 
Cha muhimu umempenda naye kakupenda,cha muhimu mapenzi ya dhati tu.
 
Kazi ni kwako... Wewe kama umempenda na yeye amekupenda songeni mbele..Kila binadamu ana madhaifu yake, usitegemee kupata mwenza asiye na mapungufu hata kidogo.
 
Hivi unaweza kufanya uamuzi wa kuoa au kuacha mchumba wako kwa kutokana na ushauri wa watu wasiomjua?

Yaani ukatega masikio na macho yako hapa kusubiri upate tabia za kabila lake na kiwe kigezo? Na ukakubali kabisa kwamba watu wa kabila fulani wanazo sifa zinazofanana na kwa kiwango sawa?

Utakua huna sifa za kuwa Mume.
 
Weweeee una ng'ombe? Ohh kwa wahutu sawa hawana tofautu na abiiru. Angekuwa mtusi ningeendelea kukupa experience.

Anyway wahutu ni wachapa kazi maana wamezoea shida.
 
Back
Top Bottom