Sifa na tabia za mabinti na wanawake wa Kihutu.

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Wana wa familia ya JF mambo vp? Katika miangaiko ya kuyatafuta maisha hatimaye mwenzenu nimefika nchini Rwanda nimempata binti mmoja wa kihutu anaitwa Grolia nimempenda sana na nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi pamoja naye na sasa yapata miezi sita tukiwa ndani ya uhusiano vp mbali na mambo mengine ni zipi hasa sifa na tabia ya kabila hili ktk suala zima la ndoa.Kwa wanaofahamu nahitaji msaada wenu.
 
Jitahidi kufanya mazoezi ya ngumi. Lolote linaweza kutokea.
 
7130.jpg
 
LOL . . . . Kigali mbali Kigali mbali tukumbukane kwa barua . . . kila la heri Mkuu. Tabia ya mtu ni Unique kwa kila mmoja.
 
Ronn M ukienda Kigali kama umeshatembelea Genocide Memorial Sites kule kwenye mafuvu, utakuta kuna picha nyingi zimetundikwa za wale waliouwawa. Kwa kweli inasikitisha sana. Kuna Wadada wazuri sana majority waliouwawa na watoto wazuri sana.

Shida ni kuwa wakoloni ndiyo waliopandikiza chuki ya wenyewe kuanza kuchukiana. Kwa sasa hii imepungua. Wanyarwanda general ni watu wazuri na katika kipindi hiki cha almost 10 years they really know what they want much far than TZ. Hongera Wanyarwanda.
 
Last edited by a moderator:

Ukweli ndio huo, hawa wenzetu wamepitia mengi, magumu na mazito, sasa wamegundua wanataka nini, wamesimama,

wanatembea, soon watakimbia na kuruka, hatutawakamata! Miaka hamsini ya uhuru, bado Dar inapata supply ya maji

from only one source!
 
wahutu ni kama waha wa kigoma hata baadhi ya maneno husikilizana wao hawana matatizo sana kulinganisha na wale black beauty (watusi) jichanganye nae tu mkuu halalisha ndoa
 
Uchafu hasa wa ndani ya nyumba na body hygenie,inabidi uwe mkali kwa hilo na hawajipendi sana(wengi wao),pia ubishi itabidi ulivumilie hilo maana hawana tofauti sana na waha.
 
rafiki yangu mmoja anajuta kuwafahamu hao watu! Yeye kapigwa ban kwenda kwao, nyumbani kwake hata mzazi wake aumwe hawezi mpokea! Ila we jaribu bahati yako!
 
Back
Top Bottom