Sifa mbaya za makabila yetu

Kumbuka kuwa hizo ni tabia za binadamu yeyote yule kwa sababu hata hayo makabila ulizoorodhesha sio watu watu katika makabila hayo wana tabia hizo. Kama binadamu wote watafanana yaani kuwa wapole kuna baadhi ya watu watakosa kazi; ina maana polisi, mahakama n.k.

kuna kabila lina itwa Wandukulukudusucho, wao ni wachawi kinoma, ila malaya sana

huyu bwana Bujibuji nadhani ana matatizo!
Ana mtizamo hasi ( a negative perspective).
Ktk karne hii ya 21 mtu anaongelea ukabila badala ya kuongelea jinsi ya kuondoa ujinga na umasikini na ufisadi!
Pole sana, yawezekana Bujibuji unazo sifa zote mbaya 15 ulizotaja na zaidi, ndiyo maana zimeganda ktk moyo wako.

Hapo umepatia kwa sehemu kubwa kwa wajuluo pia ni malaya kwa wanaume na wanawake Na wapare kadhalika ila naona hapo kwa wanyiha umetuonea maana inategemea mtu anauwa kwa sababu gani.

Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.

Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia (inayoakisi sifa ya kabila lake) tutapata jamii safi isiyo na taswira mbaya na makabila yetu yote yataheshimika.

Nia ya bandiko hili si kutusi wala kukejeli kabila lolote ndio maana hata wewe unaruhusiwa kuweka kile unachokiona kwenye makabila mengine.

1. Wachagga-wezi

2. Wafipa-wachawi

3. Wazaramo- majungu

4. Wanyakyusa- ukabila, umalaya na kujisifu

5. Wahehe- kujinyonga

6. Wakurya- ukatili

7. Wajaluo- roho mbaya

9. Wahaya- umaalaya, kujisifu na kujisikia.

10. Wanyiha- wauaji

11. Wakinga- wachawi

12. Wasukuma - wachawi

Hapo namba 12 sikubali,kila kabila ni wachawi labda ututafutie sifa nyingine!

Hii inachekesha sana. Kweli nimecheka!!!!!!!!!!!!! Sasa kama hali ndo hii basi inabidi nioe Waafrika wengine wasio Watanzania kwa maana wazungu tayari naona hawafai. Nitaanzisha sred ya Wafrika wengine mnisaidie.

but they are the most advanced and best educated tribe in east and central africa along with kikuyu of kenya

makupa umesahau kumwambia pia, they are beautiful than he think, aje msh tumtembeze atoe udenda

Wewe bwana mdogo acha hizo kwa bahati mbaya kabila yangu umeisahau aukwavile sio kubwa?alafu wewe una kaelementi ka ubaguzi!Tanzania ina makabira zaidi ya miamoja kwanini utaje haya tu kama huna matatizo ya akili?Huu sio mda wa kuulizana kabila!eleza mtufulani ana matatizo!
kamaungekuwa mstaarab ungeeleza kabila lako kwanza na mapungufu yake kisha ueleze na mapungufu ya makabila hayo ambayo hujayatendea haki!Dumisha umoja na mshikamano bwana !na wasi wasi na uraia wako inawezekana umechakachua ndio maana una ka zambi ka ubaguzi!

Back
Top Bottom