Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Kabila kubwa ni wafipa, lakini kuna makabila mengine madogomadogo kama vile wabende. Hakuna danger yoyote ni wakarimu sana kwa wageni na zaidi ni wachapa kazi, karibu sana mkuu!Mkuu! Kabila gani linakuwaga huko Rukwa maana sijaona sifa yao. Na nasikia it is very danger!