Sifa kumi za mwanamke asiyekupenda

Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, anaweza akufanyie hayo yote lakini ushindwe kumuacha.
 
Namba 7 tu ndo sijakubaliana nayo!
Ipo mkuu, mimi nilishawahi kuifanya, nilikuwa na jamaa, mapenzi yakaisha, ikawa tukienda beach, nikiona mwanamke mzuri namlazimisha akaongee nae, au nikiona mwanamke kajazia namwambia amuangalie na kuanza kumsifia huyo mwanamke, alikuwa sio mtu wa ma disco, kwahiyo nilikuwa namlazimisha aende disco.
 
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, anaweza akufanyie hayo yote lakini ushindwe kumuacha.

you r right, nilipoona jamaa bado ameng'ang'ania ikabidi nimkatie mawasiliano na kumwambia asije nyumbani. He still in love with me till today,its about 10 yrs ago. I think Im gonna marry him.
 
Chriss brown!!!!! Da umenigusa hapo, mi mwenyewe yashawahi kunipata,aliipona simwachi...akaniambia yeye hawezi fanya ngono nami milele...Nikamwambia tuachane,duuuh akafurahiii up to now more than 2 years hajanitafuta sijamtafuta.
 
Mwingine ukitokea tu ananuna hahahhaaa.....au ukimpigia simu anakwambia 'ntakumpigia sasahivi',ndo imetoka hiyoo..kisha baadae mpka unampigia wewe kisha anakwambia 'nilisahau bahati mbaya jamani'.. Balaaa!

Hasa hiyo kauli ya nilisahau bahati mbaya jamani,wengi ndo huitumia
 
For sure,you analysed the thrueth!all u said happened to me!but thanxs God nilijikata baada ya long tourture she did to me.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom