Sifa gani za kufungua voda shop au kuwa super dealer?

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
kwa yeyote anayejua sifa za kupata uwakala wa vodashop na superdealer yaani watu wanaouza mpesa wawe wananunua balance kwako kwa jumla hili waende kuuza kwa wateja wa rejareja
 
Nenda kule jukwaa la biashara, kuna mtu katoa maelezo pale. Anasema yeye ni super dealer
 
Back
Top Bottom