Sielewi tatizo....

Mbona kuna walopigwa 5, 6
Sijui wewe ni wa wapi
Kila timu kubwa ligi hii imeonja mauti

Yaani kiongozi kwa mujibu wa ushauri uliom'pa mdau-mwenza haufanani na jina lako! Ushauri wako ni ecxelent! Sijui ilikuaje Fergy akakupiga 8 wakati una ma'ushauri mazuri kiivo! Oooh-maaama!
 
Achana naye huyo
Inaonekana unampenda
tafuta ambaye humpendi
Mkorofi, anayecheat, ambaye si wa dini
ili usiwe unampa hela na kumsikiliza

Duh: Wonders shall never end.
 
Magoo! Soo much whistles it may lead dog to the wron' direction! Also mimi na wasiwasi na hivyo unavyokata mikwanja japokua sikuulizi ni ya urithi ama zako mwenyewe bt above ol try to avoid extravagancy my fellow mdau.

Ok mkuu ili nitalifanyia tabu taratiiibu cz ghafla ni ngumu
 
mimi napita wakuu,....ila ntarudi kupiga chabo muda si kitambo_maake hata mimi yamenikuta
 
Wenger i do tell you hutendi haki kuishia tu sports kule bila kututembelea.....lol... Umeona mambo ambayo hua watubania? The Advice is Great.



Ha ha ha, tatizo jukwaa lenu ni rahisi mtu kuwa addicted. Kwahio ni bora niwe napita pita tu mara moja moja. Sports kule powa siku za games tu ndio mara nyingi najiunga.
 
Back
Top Bottom