Sielewi nimepatwa na nini mwenzenu...

...umepatwa na pepo!
Kitendo tu cha kukutana na msichana na kumsahau mchumba wako mtarajiwa ni kosa la jinai! (ungekuwa huku UAE tungekupiga na mawe)
Yaani unataka kusema kila unpomwona msichana mrembo unalala naye kwanza ujue wa baridi ama moto..
1. Unahitaji sala ya toba na umpokee bwana Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yako.
2. Then uende kwa huyo mchumba wako mtarajiwa na umweleze kwamba akuache kwa sababu u r not worth to be with her.
3. U should be ashamed of this
4. Mwanaume rijali ni yule anayeweza kuzuia hisia zake mpaka wakati muafaka (definition yako ya urijali ni ya kishetani!)
5. Huyo ni wa Arusha na I guess ulienda kwa ndege maana ungepitia Moshi uwaone wa Kichagga..cjui kama ungerudi.
6. Huyo mtoto (regardless the lady u choose) kamwe usimpeleke boarding wakati ni mdogo hivyo..bado anahitaji malezi ya baba na mama.
7. On second thought, ni afadhali aend boarding..kwani u r not a father type! (unless ubadilike)
8. It takes more than love to be with someone. R u two compatible with each other??!
9. One measure of love is the time test: have you wintered and summered with the lady you have just met? ama ni kupagawishwa na mtoto wa kimbulu...unadhani umependa!!! atleast angekuambia yuko tayari kuishi na mtoto, kumlea kama mwanae, kumsaidia..etc! lakini hiyo ya boarding...ni kumfukuza bila kumwambia toka!
10. u need a thorough soul search!
11. usiache Dhahabu kukimbilia scraper! (huyo mwanamke aliyekubali kulala nawe even kabla ya ndoa au kufahamiana..kwangu ni malaya tu!) Sasa sijui ameshaenda conference ngapi since hiyo ya Arusha...tafakari!
12. Ebu nipige thanks kwanza!

samahani kama nimekukwaza...[/COLOR]
....Haya mazee kwa kuwa uliomba senksi nimekugongea kivile tu ni wa humu humu. Otherwise umeongea mengi nikipima naona mzani unakuja kwangu...Sorry kama nimekukwaza!!!
 
ndio, mimi siwezi kukusapoti bana,

its like u dont even know wat u want so far!!! maana una-intertain na hizo simu za kutwa mara tatu. umejiachia uanguke majaribuni kaka!!! vizuri haviishi, kesho utaenda mwanza mkutanoni ukutane na wakisukuma na huyo wa arush utammwaga.

hebu kuwa na msimamo bwana!! nikuulize, huyo mtoto ni wa huyo mchumba mtarajiwa ulizaa nae??

''with fire we test gold and with gold we test our servants''

test are there to make u strong babaa!!
...Acha hasira bht...msimamo upo tena wenye akili nadhani kama ni majaribu nimeshakumbana nayo wa kwetu...mtoto nilizaa na mdada mwingine. Tulishindwana tu.
 
Mkuu thanks for asking

nasikitika kwamba jukwaa letu la mahusiano, jamii na mapenzi limeingiliwa na watu wanaotaka kuhalalisha kufanya-fanya mapenzi tu.... mwanzo nilikua napenda kutoa ushauri lakini kwa sasa naona kama inakua too much

sioni mtu akija kuuliza shule nzuri, vyuo au kozi nzuri, namna ya kupenda zaidi, bali sasa ni kila anakuja kusema jinsi alivyotembea nje ya mstari na anaomba tumhalalishie

its getting worse

mwanaume wa principles/morals...mie ndio nishakupenda tayari!!!!!afu siku hizi napenda penda tu....ukiwa na nyodo kama Nyani Ngabu mie nakuzimia!...ukiwa mcheshi kama X-pin mie unaniacha hoi...ukiwa na hekima kama De Novo mie ndio kabisaaaaaaaaaaaaa...nadhani nina pepo na wanaume wa JF!...mnalo!!!!!!!!!!!!!!!!?!
 
Mkuu thanks for asking

nasikitika kwamba jukwaa letu la mahusiano, jamii na mapenzi limeingiliwa na watu wanaotaka kuhalalisha kufanya-fanya mapenzi tu.... mwanzo nilikua napenda kutoa ushauri lakini kwa sasa naona kama inakua too much

sioni mtu akija kuuliza shule nzuri, vyuo au kozi nzuri, namna ya kupenda zaidi, bali sasa ni kila anakuja kusema jinsi alivyotembea nje ya mstari na anaomba tumhalalishie

its getting worse


Siyo tu jukwaa la mapenzi limeingiliwa bali Jamii imeingiliwa hakuna mijadala inayoendelea hapa kutwa kucha ni mapenzi tu kama ilivyokuwa huko nyuma. Watanzania tuna matatizo makubwa sana kama kila tunapoamka na kulala hatuwazi kingine chochote ila mapenzi tu. :angry:
 
pole
lakini kumbuka kuwa Mungu aliumba na anaendelea kuumba vizuri tu,
vibaya ni vya shetani, hivyo angalia sana kwa tabia yako unayoenda kuianzisha
ya mapenzi ya hovyo na kutokuwa na msimamo,
tamaa ya itaiangamiza na roho pia, hapo huna lolote ila wataka kuifurahisha nafsi yako tu,
kumbuka kuifurahisha nafsi, kunaiua roho na mwili pia kisha kuipoteza kabisa
 
huna msimamo wewe, ogopa sana Arusha watu wa kule wako kibiashara zaidi na ni wazuri ili awachelewi kukuchenjia, inaonekana wewe ni mgeni wa mapenzi ndio maana umechanganywa na mtu wa kupita aliyekukubali kirahisi (loose ball) na kukutega ili uingie line, fumbuka MBAYUWAYU wewe utapata laana bure kutoka kwa wazazi kwa tamaa za muda mfupi

Mapenzi ni vitu vingi sana sio sura wala pesa kama unavyofikiria na hilo JOTO (HOTNESS) ni akili yako mwenyewe inacheza wala si huyo m/mke, zinduka, amka, kimbia achana na huyo shetani na majaribu anayokuletea ama vp badili namba za simu kabisa umpotezee

wanawake ni wengi sana lakini mke mwema ni mmoja tu ambaye ni huyo mchumba wako wa awali

Halafu hapa umekuja kuomba ushauri umwache huyo mdada wa Arusha au umekuja kumsifia? tupe jibu. Hii sehemu tunawekana sawa lakini atutoe ushauri wa kukupoteza wewe ZINDUKAAAAAAAAAAAA
 
Halafu jamaa anashauriwa anakuja juu sasa umeleta topic hapa ya nn? watu wanaumiza vichwa kukusaidia unaleta ujuaji

WEWE NI SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA umeshapotea
 
1.umekutana na mjanja,jasho litakutoka.
2.yaani huyo bibie ninavyoona unaweza kumsindikiza hata guest akamegwa wewe unasubiri nje pasipokujijua.
3.Nahisi uwepo wa pepo hapo.........maombi yana hitajika.
4.Samahani,lakini mzee kwa staili hii una safari ndefu sana ya kutafuta MWENZA.
5.Uliekaa nae angalau kwa mwaka na nusu kama mchumba huyo NDIE.
6.wasichana wazuri na warembo hawaishi kwa taarifa yako na wengine hata kuzaliwa bado.
7.Sasa? je ungeenda maeneo ya mbulu,babati,mto wa Mbu je?ha ha ha ha ha,USINGERUDI dar.
8.Eti nini?umkaribishe DAR,naona una hamu ya kuishi na pepo,utachunwa ngozi.
9.Akili yangu inaniambia kuna kitu umelishwa wakati fulani mkiwa wote pale Arusha,kumbuka vizuri,eeeeeh unakumbuka eeh,YES.nguvu za GIZA
10.Usipende sana DEZO hasa toka kwa akina mama,kwanini akusomeshee mwanao? we hushangai?
hata hivyo ndugu yangu,hayo ni mawazo yangu binafsi, TUSAMEHEANE KAMA NAKUKWAZA si unajua tena? dawa(ushauri) zingine chungu
kuzimeza lakini ni single DOZE unapona.Hapa nimekuandikia drip ya kwinini naona homa yako kali sana,MARALIA 8.MWELEZE MCHUMBA WAKO UNAETAKA KUMWACHA AKUKOLOGEE UJI UNYWE DAWA IFANYE KAZI VIZURI. UMENIELEWA?
 
Hivi wewe, umeshakuwa na wapenzi wangapi mpaka sasa? Umetuambia tu mautamu wa huyo wa Arusha, lakini what's wrong with the one u were about to marry? Anyway, nakushauri umwache huyo mpenzi wako wa siku nyingi na umuingeji huyo mpya wa Arusha uliyekuwa naye kwa siku mbili tatu.
 
Back
Top Bottom