SIELEWI MANA YA HUU MSEMO,Msaada please wanajamvi...

Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?

Nonsense!!..
 
Ubarikiwe zaidi Keren....hakukosea aliyesema JF kipimo cha uvumilivu....kwa kuwa mema ni asilimia 95,na kero ni tano....tutabanana hapa hapa!!!!

Amen dear! Ni kweli kabisa......ila ni mambo madogo tu haya! Mtu anaweza kusema anachotaka, cha muhimu najijua mwenyewe jinsi nilivyo, so wala sijali kabisa!
 
Sipendi watu wasiowaheshimu kinamama/dada.inabidi tumzirie thread yake kama jina lake.

uporoto cant you stand with your own legs or?yani usione watu wana-challenge with facts then nawe unasema eti siwaheshimu wanawake ,is it true!?ninapenda kujua kutoka kwa magret thinkas humu jamvini bt sikutambua kama kuna watu wachache kama wewe wanaoweza mobilize watu wasusie sredi,unajua bwana urojo ,so sory uporoto kama kitu hukipendi na haulewi sredi in a nutshell ,its better you shut up your mouth ,
 
Mkuu umekuja kuwatusi dada zetu huku unajifanya hujui unamaanisha nini?


Nakushauri omba msamaha.

khee,msamaha wa nini?provide facts za kuonyesha kuwatusi hao dada zako na si unanukuu au kuchukua kijimstari kimoja ,think critically
 
Nzirie huwezi kuja na kauli za kidhalilishaji unazozisikia hapo kwa muuza kahawa na tukakuunga mkono,ni afadhali uendelee kutuchekesha kule kwenye jokes,hapa ukija na tatizo la mahusiano kweli watu watakushauri.
 
kwanza umeshasema msemo wa mtaan alafu unatuletea REJESTA tofaut tofaut wewe kama unataka kujua kawaulize unao wackia wakisema sawa mkuu
 
Nzirie huwezi kuja na kauli za kidhalilishaji unazozisikia hapo kwa muuza kahawa na tukakuunga mkono,ni afadhali uendelee kutuchekesha kule kwenye jokes,hapa ukija na tatizo la mahusiano kweli watu watakushauri.
Nzirie atakuwa anapenda sana kukaa vijiweni
 
khee,msamaha wa nini?provide facts za kuonyesha kuwatusi hao dada zako na si unanukuu au kuchukua kijimstari kimoja ,think critically
Uungwana ni pamoja na kukubali ulimi ukiteleza na kuwataka radhi kina dada/mama/wake kwa kuwakwaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom