mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,641
kwahiyo hadi unavopost huu uzi HG bado yupo nyumbani??????????????
pole,if you don't mind ni PM
kuna kitu nitakushauri
halafu bado uko nae humo ndani ...tumia imani yako kuponya matatizo ya mwanao
mimi ni mkristo na huwa NAFANYA MAOMBI nyumbani kila alfajiri na jioni, nimekuja kuomba ushauri JF kwani naamini kuna watu wenye uwezo wa KIMUNGU wanaoweza kunisaidia zaid
unafanya maombi kama sheria au kama imani? Maana kuna kufanya maombi kutimiza wajibu,na kuna kufanya maombi ya haja ya kweli juu ya Msaada wa Mungu,na afanye hivi huwa na nguvu ya Mungu,na ungekuwa nayo for the fist day tu ungejua huyo dada sio mtu mzuri,kwanza kwa hayo maombi tu mwenyewe angekuwa kashatimua siku nyingi wala asingekaa hapo manake kwa damu ya Yesu hapo pangekuwa moto kwake maana ungekuwa unakwamisha shughuli zake,badili mfumo wako wa kuomba ndugu.