Sielewi kinachoendelea kwa mwanangu,Nawaomba mnisaidie

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Kuna house girl nilikua naye kwa mwaka 1 ss yy ni mzaliwa wa Tanga, dada huyu nimeish naye vzr sn na alikua anamlea mwanangu wa miaka 4 vizuri sn, lkn kwa kipindi choche nilichoish naye mwanangu amekua na tabia ya kuweweseka sn usiku na kuongea maneno ya ajabu KM NIACHIE, MI SIENDI HUKO, mi nilichukulia kw lbd anakumbuka michezo ya shuleni lkn woga na hofu imeniingia ghafla hz wiki 2, wiki iliyopita ghafla huyu dada pmja na mwanangu walianza kutingishika km m2 aliyepandisha mashetani, mtoto ye anasema NIACHIE UKO MI SIENDI, DADA YE ANATINGISHIKA, MARA AKAITA JINA LA MWANANGUGHAFLA WOTE WAKATULIA, tk siku hy hy dada anaongea mambo ya ajabuajabu, mara aseme MTAANI WT WANAMUITA MCHWI, MARA WATU WANAMSINGIZIA KW KALA NYAMA YA MWANAE(alifariki miez 2 iliyopita) SS ANATAKA KULA NA YAMWANANGU, jana sa 8 usiku kaamka ANANIAMBIA KW ANAONDOKA MAMA YK KAJA YK PEKU NA AMECHOKA SN KAJA KUMCHUKUA, jamani jamani nisaidieni NINI MAANA YA YOTE HAYA??
 
Mkumbuke Mungu wako!!!

Na huyo dada kama una wasiwasi nae mfukuze kazi.
 
halafu bado uko nae humo ndani ...tumia imani yako kuponya matatizo ya mwanao
 
Unataka tukushauri nini ndugu? Timua huyo dada, peleka mwanao kwenye maombi. Usichukulie maneno kama hayo kwa mzaha
 
Mfukuze upesi huyo mdada! Peleka mtoto kwenye maombi, ukiweza leta wachungaji/ mapadri/masheikh waiombee na nyumba pia.
 
kwa ufupi huyo dada ni MCHAWI na ukicheza naye atakupotezea mtoto sijui utamlilia nani,TIMUA HY HG NA FUNGA NA UOMBE USIKU NA MCHANA KUMWOKOA MWANAO
 
Muondoe haraka huyo housegirl na waone viongozi wako wa kiroho kwa maombi.
 
Unaijua remix ya nyimbo ya mbagala iliyoimbwa na Tanzanite shauri yako!!ikutokana na imani yako ita watu wapige duwa hapo kwako na yeye akiwepo then mrudishe kwao.
 
Kwakweli nilikua nasubiri pakuche nimpelekwe kwenye maombi ila Leo asubuh sa 11 kapaki mizigo yake kaondoka kaenda ukonga kwa dada yake.
 
Mimi namshukuru mama yangu ni mtu wa maombi sana; kila nikiajiri house girl mpya anakuja kumchukua kumpeleka kwenye maombi ili kama kaja na majini sijuhi mashetani yake yalipukie huko tujue tuna mtu wa aina gani.

Ni challenge sana kuishi na wadada tusiowafahamu na kuwaacha watulelee watoto wetu; lazima tumtegemee Mungu.

Kuna mama mmoja mwanae wa kumzaa wa miaka 14 alikuwa mwanga wakati si yeye wala mume wake ni wachawi; mtoto alifundishwa uchawi na bibi yake kijijini aliyeng'ang'ania kuwa atamlea; Baada ya kabibi kufa kakamuachia mtoto mikoba. Mtoto kaja Dar majirani wenye mpako wakagundua kuwa ni kachawi; kamepelekwa kwenye maombi ndio kamekiri bibi kakaachia urithi.
 
[
Hivi hadi sasa unaye huyo hg? Usicheze ndugu unaweza kupoteza mtoto. Sisi tulishampata hg wa hivyo na alitokea tanga yaani ni Mungu tu tungempoteza mtoto. Mtimue haraka na beba mtoto peleka kwenye maombi haraka akatolewe hayo mapepo ndugu. Fanya fasta uliko unavyofikirii. Namuombea mtoto Damu ya Yesu iendeleee kumfunika na kumtetea.

QUOTE=Kima mdogo;2698705]Kuna house girl nilikua naye kwa mwaka 1 ss yy ni mzaliwa wa Tanga, dada huyu nimeish naye vzr sn na alikua anamlea mwanangu wa miaka 4 vizuri sn, lkn kwa kipindi choche nilichoish naye mwanangu amekua na tabia ya kuweweseka sn usiku na kuongea maneno ya ajabu KM NIACHIE, MI SIENDI HUKO, mi nilichukulia kw lbd anakumbuka michezo ya shuleni lkn woga na hofu imeniingia ghafla hz wiki 2, wiki iliyopita ghafla huyu dada pmja na mwanangu walianza kutingishika km m2 aliyepandisha mashetani, mtoto ye anasema NIACHIE UKO MI SIENDI, DADA YE ANATINGISHIKA, MARA AKAITA JINA LA MWANANGUGHAFLA WOTE WAKATULIA, tk siku hy hy dada anaongea mambo ya ajabuajabu, mara aseme MTAANI WT WANAMUITA MCHWI, MARA WATU WANAMSINGIZIA KW KALA NYAMA YA MWANAE(alifariki miez 2 iliyopita) SS ANATAKA KULA NA YAMWANANGU, jana sa 8 usiku kaamka ANANIAMBIA KW ANAONDOKA MAMA YK KAJA YK PEKU NA AMECHOKA SN KAJA KUMCHUKUA, jamani jamani nisaidieni NINI MAANA YA YOTE HAYA??[/QUOTE]
 
Japo huwa siamini masuala ya MAZINGIRA nashawishika kuamini kwamba huyo house girl ni MCHAWI!
 
Sikubaliani kabisa na wazo la kumtimua. Sali sana, na waombee hao watoto wawili. Mwanzo ya thread ulisema unamuona kama mwanao pia? wanaonekana wote kuna kitu kinawasumbua (inaweza kua ni bad influence ya hayo maneno huyo housegirl anaambiwa mitaani) au inaweza kua kitu kingine. No matter what it is, ongea nao na waombee sana wapate peace of heart and peace of mind. Hizo nightmares zitaisha na mtarudi kua sawa tena.
 
Ukimfukuza huyo hg huwezi jua mambo mengine aliyofanya au atakayofanya kwa sbb ameishi kwako muda mrefu she knows everything in your family. kwa hiyo omba sana na watumie watu wa Mungu kuomba pamja na kuwashauri (councilling) ndipo muachane baadaye otherwise itakusumbua.
 
Ungekuwa karibu yangu ningekuzaba vibao kwa hasira kutokana na kushindwa kumfukuza huyo HG hadi wakati unaandika thread hii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom