A allydou JF-Expert Member Apr 16, 2009 1,603 1,060 May 19, 2011 #2 hapa wapi yakheee, naona kama tanga hivi,
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,038 10,684 May 19, 2011 #4 allydou said: hapa wapi yakheee, naona kama tanga hivi, Click to expand... Unguja kati yakhee,ndani ya chai maharage.
allydou said: hapa wapi yakheee, naona kama tanga hivi, Click to expand... Unguja kati yakhee,ndani ya chai maharage.
Manumbu JF-Expert Member Oct 28, 2009 1,746 1,282 May 19, 2011 #5 chai maharage dar zilishatoweka moja kwa moja. zenji zimegoma kutoka au ni kautamaduni ka kudumishwa?
chai maharage dar zilishatoweka moja kwa moja. zenji zimegoma kutoka au ni kautamaduni ka kudumishwa?
KIMICHIO JF-Expert Member Aug 12, 2010 1,179 80 May 19, 2011 #7 Yakheeee ukisafili na wenzio shalti mtiane machoni atiiii!!!!!
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 May 19, 2011 #8 KIMICHIO said: Yakheeee ukisafili na wenzio shalti mtiane machoni atiiii!!!!! Click to expand... He kwani kwenye daladala hamtiani machoni??
KIMICHIO said: Yakheeee ukisafili na wenzio shalti mtiane machoni atiiii!!!!! Click to expand... He kwani kwenye daladala hamtiani machoni??