Sidiria mpya kwa Wadada...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Hizi zitatusaidia wanaume tunaopata shida kuvua zile za kufunga mgongoni.....

sid 1.jpg

sid 2.jpg

sid 3.jpg
 
Hiyo kitu bana unafaa hao wenye ya saa 6, kama ni heavy duty ya DD OR F size lazima upate support ya forklift na sio hiyo. If you know what i mean.
hahaha.......umenikumbusha mbali.
 
Izo kwawale my milk is stand tu walewengineo walie tu
 
mnh hata hao wenye maziwa saa sita sidhani kama they will find them comfortable,saa yoyote kanaweza kakaanguka.:wacko:
 
mh mwenzangu raha ya sidilia ni vile vingapa hapo hata watoe bure si mchukulii honey wangu
 
my bebii huwa anapenda anifungue mwenyewe......so hii....big NO........
 
Raha ya sidiria uvuliwe, wanaume wanazozipenda design kama hizi lazima watakuwa ni wavivu wa mapenzi :) , sorry Boflo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom