Sidhani Kuna Tofauti Kati ya Kikwete na Huyu Jamaa.....

Nimekusoma mkuu,huko Brazil alikokwenda huyo mzee wa matamasha kabla hawajamwekea msaada kwenye bakuli lake wangemwuliza alitumia busara gani kutapanya mabilioni ya shilingi za watanganyika maskini ambao watoto wao hawana madawati shuleni na akina mama kujifungulia sakafuni.
 
Back
Top Bottom