Sichagui, Sibagui atakayenizika simjui...!!

Mmmmh saa nyingine tusiwalaumu watu ukute wana mapepo hebu ukiona mtu kama huyo mshauri akaombewe au uwe unamwombea maana katika hali ya kawaida mtu huwezi fanya hivyo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hamna bwana hii mambo ni umri tu maana hata jamaa yangu mmoja
yuko hivyo hivyo nafikiri kuna muda tu ukifika atabadilika wala sio ishu ya
kushauri au nini
Anaweza kubadilika?
 
Hapo kuna tatizo,yeye anadhani kuna yeyote kati ya hao atakayemzika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom