Sibuka Tv

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wana JF naomba mnijuze kuna tetesi kuwa sibuka Tv inayoonekana kupitia startime ni ya TBC,mwenye ukweli juu ya hili tafadhali tunaomba Msaada wa kujua
 
Acha ujinga! Hili ni jukwaa la siasa. Peleka hii thread mahali pake. Na uwe makina na vitu unavyofanya. Sio unakurupuka...
 
sibuka ni makao makuua mjini maswa sio ya tbc. Imeanza maana radio yao imefanya kazi nzuri kuwaamsha wasukuma wamepunguza ukondoo
 
si kweli sibuka tv, ni mali ya george nangale ila ni kada wa ccm msukuma anaeishi marekani kaja kuwekeza tu, na alianza na kituo cha redio kilichopo maswa, ni mbunge wa east africa community.
 
Mbunge wa East Afrika ambaye hakai huku ila anawekeza tu? anatuwakilishaje kwenye vikao? au anapata habari za Tanzania kwenye mtandao, ndio info anatumia kujadili huko kwenye uwakilishi wake EAC?
LAkini kurudi kwenye point, nasikia Radio ni nzuri sana, na TV pia.
 
ilikuwa redio nzuri sana ila ilipigwa na radi mpaka sasa bado wanasuasua kuirudisha katika hali yake ya kawaida. All most ilikuwa covered lake zone.
 
Huwa naangalia vipindi vya Sibuka Tv. Ila nilikuwa simjui mmiliki wala wanarusha matangazo toka wapi. Jumapili asubuhi wana country music nzuri sana. Pia mchana na mara kadhaa usiku wanaonyesha classic movie nzuri sana ambazo tv nyingine huwa hawaonyeshi au hawana. Check it out!
 
Acha ujinga! Hili ni jukwaa la siasa. Peleka hii thread mahali pake. Na uwe makina na vitu unavyofanya. Sio unakurupuka...

Nadhani wewe ndio usome vizuri ujue hapa alipoleta thread ni jukwaa gani,usikurupuke. Au tayari una chuichui baridi kichwani?
 
ilikuwa redio nzuri sana ila ilipigwa na radi mpaka sasa bado wanasuasua kuirudisha katika hali yake ya kawaida. All most ilikuwa covered lake zone.
jamaa hakukatia insurance hajajifunza kwa clouds FM ilipoungua Kitega uchumi ikalipwa wakajidai tena.
 
lakini kwa nini wanatangaza kupitia decorder hiyo ya kifisadi? kwa nini hawajapitia DSTV au wakawa open kama TV nyingine?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom