SIBUKA TV ni ya nani?

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
1,241
251
Imeibuka hii tv, naipata chnl 6 ya star times. Naomba ajuaye ni ya nani anijuvye.
 
Mbona ipo siku nyingi sasa, walianza na radio ambayo inasikika zaidi kanda ya ziwa, na iliwahi kutuhumiwa kutangaza kwa lugha ya inayoongewa na wakazi wengi wa eneo hilo na hasa Shinyanga. Japo jina la mmiliki limenitoka kidogo, jamaa ni mbunge wa bunge la afrika mashariki
 
Kama sikosei anaitwa George Francis Nangale, Mtu CCM.
Kipindi cha nyuma walikuwa na baishara ya cotton ginning pale Uzogore-Shinyanga.
Ni Mbunge wa East Africa Legislative Assembly.
Anaendesha Tv/Radio - yuko ubia na mtu mwingine kama sikosei.

Huwa anaweka Dr. kabla ya majina yake ingawa sijui ni Dr. ipi, wa mifugo/nondoz/kama ya JK.
Kamata link hiyo hapo kwa additional info

Dr. Nangale George Profile
 
jamani mbona na kikwete kum-refer kwenye dr jamani........mwachenbi mkwele wa watu apate vyeo
 
Tueleze sababu ya kutaka kumjua mmiliki, unataka kutumia jinalake kutambikia ama?, nadhani kwa zama hizi kujua nani anamiliki nini siyo bigdeal unless umetumwa...........................................
 
Back
Top Bottom