Siasa

Mkullya Damu

Member
Jul 18, 2012
81
7
Ninawasiwasi na maamuzi ya prf. Muhongo waziri wa nishati na madini,kwamba kuna wana siasa wanamtumia ili kujiimalisha kisiasa na mbio za uraisi sina uhakika na mawazo mgando yangu,mwenye uwezo wa kutizama kwa jicho la tatu naomba aniondoe huu wasiwasi wangu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom