siasa zinatupeleka wapi?

aseenga

Senior Member
Jul 13, 2011
106
86
nafahamu kwamba nitakacho kisema hapa huenda ikawa c mahali pake, lakini kutokana na kuona kwamba upande huu una wadau wengi basi ache niseme kinachonisumbua. ni hvi sisi wanafunzi tuliojiunga na vyuo vikuu mwaka uliopita na kukosa mikopo tuliahidiwa na bodi ya mikopo kwamba tuende vyuoni matatizo yetu yatashughulikiwa huko. kweli tulienda vyuoni kwa pesa za kuokoteza, baada ya hapo wlitoa tangazo la ku apeal kwa tsh 5000, baada ya ku apeal bado mi naona wametunyang'anya hata kile kidogo tilichokua nacho coz hakuna dalili yoyote ya matokeo. ninachoona mimi ni siasa tu.:hatari:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom