Siasa zetu: Kubali kuliwa Ule!

Albert Msando

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,019
171
Nimemsikia Mh. Makala kwenye mchango wake bungeni leo akimnukuu Raisi &quot;kubali kuliwa ule&quot;. Hii ni kuelezea kwamba TANAPA watangaze biashara ya utalii ili wapate biashara!<br />
<br />
Huu unaweza kuwa msemo. Lakini unaonyesha ni jinsi gani tunavoweza kuwa 'loose' katika fikra! Tunakubali matokeo kirahisi sana! Bila kuliwa hatuli! Mbona tunaliwa na hatuli?

Siasa zetu ni za ajabu sana! Wananyama wametoroshwa, tumeliwa! Je tumekula? Hatujala!<br />
<br />
Unahoji! Halafu unaunga mkono hoja!! Unaliwa halafu hauli unachekelea!!
 
Hii ni hatari sana, matokeo yake tunaishia kuliwa weee,
kisha wanaondoka zao na kutuacha watupu!

Mungu ibariki Tanzania...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom