Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Mkuu, inawezekana inaingia........Hakuna watu wanoniudhi kama wakubwa wa Polisi, ma RPC's na Makamishna walioko Makao,mara zote wanakwepa kuwajibika tu na kuelekeza burden of guilty pahala pengine! Sioni ni vp siasa inaingia katika hili
Inawwezekana wamepewa amri na viongozi wa kisiasa...
Inawezekana Vuai, waziri na kiongozi wa kisiasa amewaambia nyie uweni tu mkiona mtu anadai haki,
Kwani yeyote anyedai haki huyo hayuko upande wetu sisi CCM.