Siasa za Ujamaa na ´kumiliki mali'

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,234
531
Nchi hii imejengwa katika misingi na sera za kijamaa -- sijui kama ilikuwa ni extreme form of it, lakini najua kitu kimoja. Siasa hizi zime-demonise dhana ya mtu binafsi (individual prosperity) kuwa na mali (utajiri).

Najiuliza, kwanini tumekuwa nchi ambamo hatuwezi kuamini kuwa inawezekana mtu kuwa tajiri? Kwamba ili kuwa tajiri lazima kuna 'siri chini ya kapeti'? (Tuta-speculate ndumba, rushwa, kujuana, kupendelewa, n.k.) Tumekuwa watu ambao hatutaki kuona kama kuna jitihada binafsi za watu katika kuchuma mali, hata katika kipindi hiki ambamo tumeshaikufuru siasa ambayo bado imo kwenye katiba ya nchi.

Kwa nini utajiri uwe 'dhambi' katika nchi hii?
 
Utajiri ni dhambi sehemu yeyote duniani.
 
[QUOTE Najiuliza, kwanini tumekuwa nchi ambamo hatuwezi kuamini kuwa inawezekana mtu kuwa tajiri? Kwamba ili kuwa tajiri lazima kuna 'siri chini ya kapeti'? (Tuta-speculate ndumba, rushwa, kujuana, kupendelewa, n.k.) Tumekuwa watu ambao hatutaki kuona kama kuna jitihada binafsi za watu katika kuchuma mali, hata katika kipindi hiki ambamo tumeshaikufuru siasa ambayo bado imo kwenye katiba ya nchi.

Kwa nini utajiri uwe 'dhambi' katika nchi hii?[/QUOTE]

Kwa sababu sheria mama ya nchi haimruhusu mtanzania kuwa tajiri.
 
Nchi hii imejengwa katika misingi na sera za kijamaa -- sijui kama ilikuwa ni extreme form of it, lakini najua kitu kimoja. Siasa hizi zime-demonise dhana ya mtu binafsi (individual prosperity) kuwa na mali (utajiri).

Najiuliza, kwanini tumekuwa nchi ambamo hatuwezi kuamini kuwa inawezekana mtu kuwa tajiri? Kwamba ili kuwa tajiri lazima kuna 'siri chini ya kapeti'? (Tuta-speculate ndumba, rushwa, kujuana, kupendelewa, n.k.) Tumekuwa watu ambao hatutaki kuona kama kuna jitihada binafsi za watu katika kuchuma mali, hata katika kipindi hiki ambamo tumeshaikufuru siasa ambayo bado imo kwenye katiba ya nchi.

Kwa nini utajiri uwe 'dhambi' katika nchi hii?

Gurta!
Hata mimi huwa najiuliza what is a Tanzanian dream as of now? maana woote tumekua politicians tunaikalia tu politike kazi hatufanyi!! wamarekani wana kitu kinaitwa Amercan dream inayomfanya kila mmarekani aonekane tofauti na watu wa nchi nyingine. sisi bongo tuliukataa ujamaa na kujitegemea ambao mali zote ni za umma, ila kila mtu alitoa jasho kujenga taifa kwa moyo na uadilifu lakini tumehamia huku amabko kila mtu anataka alelewe na serikali visingizio vya kutofanya kazi viko kibao. of course kuna mafisadi wamekwiba mali za umma. lakini kuna watu fairly wame-struggle kupata mali kihalali ila si rahisi kuwatofautisha na mafisadi that is the problem!!
 
Back
Top Bottom