MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 510
Puppy,
Are you convinced kwamba hao VINEGA hawana matatizo ya kutatua makwao? If yes, kwanini waamuliwe na kamati ya maandalizi kuwa theluthi (33%) inabaki kwenye shughuli za siasa za SUGU. Hii asilimia ni kubwa mno, hata Bill Gates hawezi kufanya hivi. This is not giving back to the community, this is buying the community politically kwa kutumia vipaji vya VINEGA.
Jaribu kufikiria asilimia 33 ya kipato chako, then jiulize kama unaweza kwenda kukitoa charity, then kumbuka kuwa hiyo inayobaki wanagawana VINEGA wote.
VINEGA ni HARAKATI and their prime aim si kutengeneza faida. HARAKATI zinalenga kumkomboa msanii kwanza aondokane na hao wanaohujumu uchumi wa muziki. Unafahamu ni kiasi gani DEIWAKA ENT. inatumia kuandaa haya matamasha (bila udhamini)? Then you shouldn't say SUGU is using them. Huna haki ya kusema hivyo. Wewe na waliokutuma wote ni wanafki