Siasa za matusi

kekukeku

Member
Apr 4, 2012
5
0
Siasa za matusi na uongo ambavyo wazee wetu wanataka kuturithisha hatuzitaki kabisa katika nchi hii. Tunajua siasa ni mchezo mchafu waswahili husema hivyo lakini sio michezo hii ya kusema uongo halafu mtu mzima anaanza kuomba radhi ni aibu kwa chama na wanachama wake.:heh:
 
Back
Top Bottom