Siasa za matusi hazikuanza tu Arumeru? Angalia hapa

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,186
79,381
Hawa wawili wanafanana? hebu sikiliza hotuba zao...! Nina wasiwasi na uraia wa Lusinde




 
Last edited by a moderator:
CCM inabidi waanze kuangalia upya vigezo vya watu wa kuwapeleka kwenye kampeni zao, huyu jamaa ni zero, hivi aliongea nini huko jimboni kwake mpaka akapata ubunge? Vitu anavyo ongea not relevant na kampeni za ubunge.
 
MMMHHHH!!!!! kama ndo ccm walitarajia kushinda basi huyu Lusinde kawaingiza choo cha kike,,,unajua pale alipokuwa anaongea kuna wazee wanaojiheshimu,,sasa mwanzo wa kulipoteza jimbo ni huyu jamaa,,,poleni sana ccm ila kufanya kosa si kurudia kosa hiyu lusinde hafai kuwa campani meneja tofauti nahapo kila jimbo mtakuwa mnapoteza
 
CCM Kwisha kabisa,

Kama design ndiyo hii
Mimi hoi
Huyu ndiyo kaharibu kabisa hata wazee wa kimeru wa ccm naona badaye wameishiwa uchangamfu
 
Aisee huyu jamaaa kweli kaharibu yaani mi nimepata bahati ya kusikiliza ujinga wake leo clouds Fm yaani AIBUU jitu zima linalopoka mambo ya ajabu kabisa,tumshitaki huyu
 
Nadhani huyu Livingstone Lusinde anahitaji kupimwa akili yake atakuwa sio mzima.Wanatuharibia kabisa chama chetu hadi tunaonekana wote wa sisiemu tuna vichaa.Anyway yote meme ila kila nafsi itarejea kwa mola ya ccm imefika wakati wake kwenda
 
Huyu jamaa ni wa kuhurumia sana na huo ujinga wake, kila akimwaga TUSI linafuatiwa na CCM oyeeeeee!!!!
 
Duh kweli siasa ni mchezo mchafu! Pamoja na utumbo alioongea Lusinde hatakiwi kufumbiwa macho lakini fungakazi ni hii ya Jomo Kenyatta!
 
Aisee huyu jamaaa kweli kaharibu yaani mi nimepata bahati ya kusikiliza ujinga wake leo clouds Fm yaani AIBUU jitu zima linalopoka mambo ya ajabu kabisa,tumshitaki huyu

eti umepata bahati ya kusikiliza ujinga wake!
 
Mkuu nakuambia kunatofauti kubwa kati ya clip ya kwanza na ya pili hiii ya lusinde ni ujinga ameanza mwanzo mwisho kwa matusi lakini ya kenya ni tofauti na inawezekana lile tusi alilotoa ilikuwa bahati mbaya, HUYU LUSINDE NI JINGA HALAFU EETI NAYE MTUNGA SHERIA DUUU!
 
Jamaa kamshambulia sana dr sijui amemfanyia nini utadhani yeye ndo alikuwa mgombea ubunge, na sumari inaonekana kweli ni kijana safi kashfa nadhani wameshindwa kuzipata!
 
Kwanini anasema kuchanjwa chale hawa jamaa niwashilikina sana!
Na kama ni ubunge wa hivyo hawafai magamba wajinga kweli!
 
Back
Top Bottom