Elections 2010 Siasa za majungu, na kudhalilishana si utu!!

war what is it good for

  • eMAIL aDRESS

    Votes: 0 0.0%
  • MY cONTROL pANEL

    Votes: 0 0.0%
  • fACE bOOK

    Votes: 0 0.0%
  • hI5.COM

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Hizi ni Campaign Gani tena,, kama ni ndugu yake si ange kaa kimya kuliko kumdhalilisha kakayake? Hebu tazama hii Habari hapa chini, Huyu Kyabo ninani hapa Tanzania kwani, Maana mi namfananisha na Popo, Mara CCM, mara Chadema mara wapi....

"Mpendazoe ni kaka yangu, tumenyonya pamoja lakini yeye mwenyewe hajitambui. Ni hatari kuongozwa na mtu asiyejitambua. Familia yake ilimshinda na mimi ni shahidi kwani nilipata shida sana katika kumtunza mkewe na wanawe Vitalis na David, hafai kuwa kiongozi. Nawaombeni itakapofika Oktoba 31, (siku ya upigaji kura kwa uchaguzi mkuu), mgombea wa CCM katika Jimbo la Segerea (Dk. Makongoro Mahanga) apate ushindi wa asilimia 99.5. Nawaomba msimpigie kura hata moja Mpendazoe maana hafai. Kwa wakati huu Mpendazoe hawezi kumudu kuongoza nafasi yoyote labda wakati mwingine atakapoomba ndio tutamuangalia. Na hata kama atarejea CCM mimi nadhani uwezo wake ni kuongoza katika nafasi ya Balozi wa nyumba kumi, tumpime kwanza katika ngazi hiyo kabla ya kumpa kazi nyingine yoyote," alisema Kiyabo.

Kunahitaji kubwa la kuwaita wale wote walio jiingiza kwenye siasa bila kuzijua ethics za siasa, na Kuwapa Semina fupifupi, za kisomo kuhusu Siasa. Hii intaonekana ni kama Madange kumbe inafaida kubwa sana kwa siku za usoni,, coz kutajataja mambo ya nyimbani kwenye majukwaa ya Kampaign si Campaign mzuri na zakimapinduzi bali ni kudhalilishana,, Nasijui Hata CCM kwanini walimuachia aongee Pumba hizo

Kwanza mi nashangaa wewe ulikuwa CCJ, ukaamia Chadema, sasa unarudi CCM jamani huyu si kinyonga huyu?
 
KAMA MTU ana'reveal hadi mambo ya kifamilia ya nduguye kwaajili ya kampeni, thats gettin nowhere, and too much!...ni ukosefu wa busara!
 
Kiyabo ni mfa maji haishi kutapatapa labda anadhani akisema hivyo atapewa Ukuu wa Wilaya! pole sana Kiyabo inaonekana ni jinsi gani ulivyo FILISIKA KIMAWAZO NA KISERA PIA. au umetumwa na Mbwatukaji umharibie Mpendazoe! Umehaidiwa nini GARI, DC, RC au pesa ndio inayokutowa udenda??
 
Sasa mara Asiye funzwa na mamaye atafunza na ulimwengu,, Mara CCM anawaita Wananchi majuha,, mara Watanzania ni mambumbumbu jamani Siku watanzania tutakapo amua nasisi kuwapia vidonge mutakimbiana wooote maana sisi ndio tunaojua madhaifu yenu Wagombea wote..
 
Back
Top Bottom