Siasa za bongo

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Nadhani tatizo la maendeleo nchini linasababishwa na mgawanyo wa madaraka, hasa ya kisiasa. Mfano kuna huyu mkuu wa mkoa wa kilimanjaro-monica mbega. Pia ni mbunge huko iringa. No wonder wanataka kumg'oa huko iringa. Atawatumikia wananchi saa ngapi? Mara unasikia huku mjadala wa kumteua mgombea wa urais ccm umefungwa na kwamba akili zimeshindwa kufanya kazi hadi tunategemea ramli. Nampongeza pia zitto kutoa hoja ya kutenganisha chaguzi za urais na wabunge. Tatizo wahusika hawataliona hili
 
Siasa ni ubabishaji tu, inashangaza jinsi gani binadamu anavyoweza kulimit options zake kwa kuisubiria siasa imuamulie. Ndo maana Wachina waliliona hili mapema na wakaelekeza juhudi zao kwenye kazi, uvumbuzi na sayansi na technolgy badala ya hii sanaa ya manipulation na mchanga wa macho called democracy. Na sasa hivi wanaprosper.
 
Siasa ingefanywa chaguo la pili. Kila aingiaye kwenye siasa awe alikuwa na shughuli nyingine ya kumpatia kipato ili ikifika wakati wa kashfa yoyote (hatuombei) aweze kujiuzulu. Tatizo siasa bongo imefanywa kuwa kilimo. Kwa nini hao wanasiasa wasivune wakati mshawaambia kuwa ni shamba hilo?
 
Back
Top Bottom