Siasa ya mapenzi

Yahemovich

Senior Member
Jan 20, 2011
170
3
Katika mahusiano ya wapenzi wengi pamekuwa na vijineno ambavyo ni common sana aidha kutoka kwa mwanamke au mwanaume.
Kwa mfano ; baby!, Honey!, malaika, nakupenda kama...., uko peke yako...,kwako nimekufa nimeoza nibaki kuzikwa...,
promise me...,
mtu akikosea ; shetani alinipitia...!, yule mjomba wangu.../tunaundugu nae...!. MUNGU Husamehe nawe wapaswa ujifunze kusamehe...!pamoja na mengine mengi.
Je hapa kati ya mwanaume na mwanamke nani CCM NA NANI CHADEMA WAUKWELI?
 
Leo CCM kesho CDM baada ya muda unarudi tena CCM kubadilishana kuendana na wakati
 
mwanaume CCM..mapromise LUKUKI no actions
Maneno matamuuuu akiwa anataka kitu akishapata yanaisha
Akivuruga mambo kujitetea kwiiingii..oh it wasnt me ooh she is just a friend etc etc
yani TYPICAL CCM
Sie tuko pembeni tu tunapiga chabo taratibuu huku tunasmile kuwa tu washindi ...mana TUMESHAWAJUA MULIVYO
 
Ukimchunguza kuku hutakula nyama yake. Kwa mapenzi sio siasa bali ni kusameheana, kurekebishana na kuendelea na maisha. Bila vineno hivyo maisha baina ya mke na mume hayaendi.
 
ccm ni mwanaume kwa hapo kwani yeye ndo mwenye maneno mazuri wakati wa kampeni (kutongoza) na maofa kibao wakati huo (kuhonga) then wakishapata walitakalo hutufanyia visa na vituko vya kila aina. Baada ya kuona tumechukizwa naye na kutaka kumnyima lile analolitaka kwa mara nyengine basi hurudi kwa matao ya chini huku akisema maneno yake yafananayo na "kukosea ni kawaida kwa binaadamu, nipe nafasi nyengine kwa mara ya mwisho unione kama nitarejea, mara hii nitakamilisha ahadi zangu kwako na mengine kama hayo. Na cdm ni sawa na mwanaume anayetongoza ila hajafanikiwa. Mgumu wa kuhonga, maneno mengi na ana compit vizuri tu lkn kazidiwa mbinu na ccm.
 
Ukimchunguza kuku hutakula nyama yake. Kwa mapenzi sio siasa bali ni kusameheana, kurekebishana na kuendelea na maisha. Bila vineno hivyo maisha baina ya mke na mume hayaendi.

Sawabho kwahiyo unamaanisha hivyo vineno hutumika kublind each other?
 
ccm ni mwanaume kwa hapo kwani yeye ndo mwenye maneno mazuri wakati wa kampeni (kutongoza) na maofa kibao wakati huo (kuhonga) then wakishapata walitakalo hutufanyia visa na vituko vya kila aina. Baada ya kuona tumechukizwa naye na kutaka kumnyima lile analolitaka kwa mara nyengine basi hurudi kwa matao ya chini huku akisema maneno yake yafananayo na "kukosea ni kawaida kwa binaadamu, nipe nafasi nyengine kwa mara ya mwisho unione kama nitarejea, mara hii nitakamilisha ahadi zangu kwako na mengine kama hayo. Na cdm ni sawa na mwanaume anayetongoza ila hajafanikiwa. Mgumu wa kuhonga, maneno mengi na ana compit vizuri tu lkn kazidiwa mbinu na ccm.

lakini hata wanawake hutoa ahadi tamu tena zisizo na shaka?
 
mmewasahau na NCCR mageuzi, hawavumi lakini wamo. sjui mumeelewa? sifafanui zaidi
 
mmewasahau na NCCR mageuzi, hawavumi lakini wamo. sjui mumeelewa? sifafanui zaidi

hawa washikambili. Wafadhili wengi kila mmoja na secta yake.
-kuna wavipodozi.
-wamavazi.
-waushauri.
-wakuuzia sura.
-wamapenzi yaukweli.
-wa usafiri na mawasiliano.
-wafedha na matumizi.
YOTE HAYA ILIMRADI AONEKANE MJANJA KUMBe kibaraka.
 
Back
Top Bottom