Siasa ya bakwa chuo cha mipango

busiku

New Member
Jun 13, 2011
1
0
Ni mwezi sasa tangu wanafunzi wa chuo cha mipango wachague rais wa kuwawakilisha katika serikali ya wanafunzi yaani (MISO) katika uchaguzi huo uliokuwa umejaa kila namna ya vimbwanga kwani hadi mbunge wa ccm bwana juma nkamia aliingilia tu kwa vile mke wake alikuwa mgombea mwenza wa mgombea urais bwana Kwagila aliyekuwa mwenyekiti wa ccm mipango walitumia pesa nyingi magari hadi gari la mbunge Juma Nkamia aina ya vx ilionekana kwenye kampeni hizo ambazo ziliusisha wagombea watatu bwana Kisaka, Ducko. Na Kisaka Inasadikika kwamba management ilipandikiza watu hawa wawili Kisaka Na Kwagila ila cha kushangaza Mungu alivyo wa ajabu wote wakashindwa na tume Ikamtangaza bwana Ducko kuwa Rais mpya ila cha kushangaza managementikaingilia kati na kudai mshindi si mtanzania, mara ni CHADEMA, mra muhuni hadi sasa hawataki kumuapisha cha kusikitisha zaidi wameshindikiza Tume kuandika baruakwamba uchaguzi haukuwa huru na haki uonevu huu mpaka lini? mtu annyangaywa haki yake wadau tusaidieni ccm wanaingilia hadi jumuia ndogo kama ya miso kweli hata walivyo pita nina wasisisi na kura zao zilizowaweka madarakani
 
wanaweza wakashinda hapo wanamagamba lakini wakashindwa kwingine, bado hawataweza kuchakachua mioyo ya nguvu ya umma.
 
Mwisho wa ubaya ni aibu.
Waache ndio mwisho wao unakaribia wanaanza kurusha miguu.
Msalimie dr msaki.
 
Pelekeni ujinga wenu huko JF haiwezi ikaanza kujadili siasa za Kilanja au Dada Mkuu! Tuko hapa with National Politics! Sio Rais chuo cha mipango,mara CBE hopeless kabisa mbona wenzeni UDSM wako smart na hawaleti ujinga kama wenu hapa JF!? Inatia kichefuchefu tuanze kujadili siasa za vyuo vya kata!
 
pelekeni ujinga wenu huko jf haiwezi ikaanza kujadili siasa za kilanja au dada mkuu! Tuko hapa with national politics! Sio rais chuo cha mipango,mara cbe hopeless kabisa mbona wenzeni udsm wako smart na hawaleti ujinga kama wenu hapa jf!? Inatia kichefuchefu tuanze kujadili siasa za vyuo vya kata!

foolish! So what is the foundation? Hata rwanda walianza kwa kuignore process ndogondogo za ubakwajiwa demokrasia kama hivi....

Kamani za kitoto kwa nini wanamagamba do invest so heavily? -

it has been very unfair! So unfair to the students community, so unfair so unfair so unfair....

To learn that the first family do invest in suppressing......

Imagine, pccb, first family, system all to see just wenye kadi za ccm ndio wanakuwa viongozi wa wanafunzi....

UZOEFU HUONYESHA LAKINI KIONGOZI ASIYE CHAGUO HUONGOZA KWA SHIDA SANA...IT IS ALWAYS SO UNREST..PERHAPS UNREST IS A REQUIREMENT!

Anyway, 3 years to come tanzania is going to be a different place alltogether!
 
Pelekeni ujinga wenu huko JF haiwezi ikaanza kujadili siasa za Kilanja au Dada Mkuu! Tuko hapa with National Politics! Sio Rais chuo cha mipango,mara CBE hopeless kabisa mbona wenzeni UDSM wako smart na hawaleti ujinga kama wenu hapa JF!? Inatia kichefuchefu tuanze kujadili siasa za vyuo vya kata!
We JM ni KU. We unaona hapa nijamvi la kuleta mada zp? Si siasa,mbona siasa yaanzia mbali kuanzia huku mpka juu.sasa lete we mada unayotaka tuchangie.
 
Wewe ndio crap kama huna hoja si lazima uchangie. Siasa haziibuki tu hewani zinaanzia kwenye grassroots! Ni nini definition ya chuo cha kata? Acha dharau zako!!
wasomi wa bongo mara nyingi wanadharauriana sana nimewasikia sana hasa madaktari wakisema aaah....yule alisoma Russia ....yule alisomea makelele na kadhalika na kadhalika
 
Huyu mke wa Nkamia amekamatwa akicheat kwenye chumba cha mtihani, alitolewa nje kabisa na hakuendelea na exam, tusubiri tuone kama atarudi...
 
Watatumia ubabe kote ila ikifika wakati wa nguvu ya umma watafyata mkia
 
Back
Top Bottom