SIASA SI UADUI; Sugu & Mwanjelwa in Mbeya!!

Viongozi wa CCM hua hawashtakiwi!!

Wakishtakiwa hawakutwi na hatia!!

Wakikutwa na hatia faini haizidi millioni moja!!

Haswa maana ilizimwa kiaina au ilibidi alipiebei yatauro mara millioni moja?

Hafai kupewa kitengo ataiba hadi pen
Mataulo what a shame?
 
Ningekua mimi ni huyu dada hata nisingeingia kwenye siasa from the beginning. Manake washamfanya kikatuni jukwaani...mambo gani ya kuandamwa hivi. Nduguze walimkanya sasa wanabaki kumwombea ulinzi na amani ya Mungu.
 
Haswa maana ilizimwa kiaina au ilibidi alipiebei yatauro mara millioni moja?

Hafai kupewa kitengo ataiba hadi pen
Mataulo what a shame?

Nilipitwa na hiyo ishu, alifanyaje? naomba unijuze dada'ngu.
 
Back
Top Bottom