GAMAH
Member
- Jul 30, 2012
- 38
- 2
Kweli siasa ni unafiki thats why i hate politicians na politics zao, Viongozi na wanaojiita MAKAMANDA wa cahama cha CHADEMA wamekua wakihubiri kupambana na ufisani unofanywa na serikali ya CCM na watu wake wliopo kwenye syst. Cha kushangaza mpaka nadiriki kusema siasa ni unafiki na wanasiasa wote lao ni moja ni pale nilipokua mahakama ya Kisutu kusikiliza hukumu ya Mahalu kilichonipeleka kusikiliza ni taalumu ya sheria ninayohudumu ili niindelee kujifunza mambo mapya kwan sheria ni kitu cha kusoma kila siku ni pale ambapo baada ya hukumu kutolewa na Prof kutoka kizimbani watu wa mwanzo kumpokea ni makamanda wa CHADEMA Kamnda LEMA na wenzake wakiwa na 'gwanda' walikua wkwanza kumhag MAHALU!!!!
INASHANGAZA sana wale wanaojiita wapinga ufisadi ndio leo wanashangilia jamaa kushinda??? sitaki kuingilia maamuzi ya mahakama lakini hata mtoto wa std 6 akiona mazingira ya mikataba miwili tofauti yenye bei tofauti katika ununuzi wa jengo lile angehisi kuna ufisadi!
Mtu mwingine aliyenishangaza ni Wakili MARANDO ambae amekua akipanda kwenye majukwaa ya CHADEMA na kuponda serikali iliyopo madarakani na alipohutubia jangwani alidiriki kuponda hadi mahakama kua inashikiliwa na ccm kwa kuwakumbatia mafisadi huku akisahau yeye ni wakili na aliweka 'ethics' za uwakili pembeni leo anamtetea mtuhumiwa wa ufisadi???? namheshimu kwa taaluma yake ya uwakili but kwenye hili la uwakili napolitcs no way ckubaliani nae!!:closed_2: