Siasa ni mchezo mzuri lkn wagombea urais hawa waangalie sana

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
May 1, 2012
421
160
Baada ya kuanza kwa chaguzi hizi za CCM naona kunamwelekeo wa kuibuka ugomvi mkubwa kati vigogo wawili wakubwa wote wakiwa wamekwisha ukwa u PM nchini kwetu. Vyombo vya habari viliandika zikazaniwa lbd ni tafsiri tu, mmoja wao leo amedhirihisha kuwa kuna kitu kama hicho nyuma ya pazia.

For most observer watakubaliana nami kuwa hapa kuna mambo makubwa mawili.,
1-Pengine kweli hawa vigogo wanagombana kisiasa lengo ni kutaka kuwania kiti cha urais 2015
2-Pili pengine wametumiwa kwa kushawishiwa kuwa waanzishe ugomvi huo ili kubadili hoja za kisiasa
zinazoendelea nchini mwetu na hivyo wajiwekee wenyewe na CCM kwa ujumla ktk publicity ya ku-hodhi Unext P

Kwa mazingira haya wahusika wanatakiwa waangalie sn kama kweli wanautaka huo urais..maana itakuwa wanajitengenezea au wanatengenezewa mazingira ili waukose. Nasema hivyo maana wataishia kupigwa vijembe muda ukifika kuwa kwanini wanagombania ikulu hvyo?????kisha hapo nukuu ya baba wa taifa itakuwa ikitolewa. Na mwisho watakuwa wameirahishia kazi NEC-CCM kuwamwaga kwa kigezo kuwa wanagombana na kukichafua chama...hivyo kuwatosa ni kukisafisha chama husika. Eg. BASHE na KINGWA......

Ni mtazamo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom