Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Jasiri anayeogopa mali zake,loh!
Mtasema yote lakini kama alivyosema Ndashenembandu, Lowasa ataendelea kuchanja mbuga!
LOWASSA anaona mbali. Angalia Secondary za Kata, angalia UDOM. Na Alikuwa anasimamia zahanati kila kijiji. Amejiuzuru Mpaka Leo hakuna wa kusukuma hizo zahanati. Mmasai aliwatoa mawaziri wote maofisini kwenda mikoani kusukuma miradi ya MAENDELEO . Acheni Siasa za kitoto. Wananchi wanamkubali.
Siku nyingi zilizopita niliwahi kusema kwa siasa za Tanzania ndani ya ccm hakuna wa rank yake kwa sasa, ninakubali kwamba anacheza karata zake kwa mahesabu ya hali ya juu.
Kazi moja tu inayoonekana kuwa ngumu kwake ni kuteka nyoyo za watanzania walio wengi ambao ndio wenye maamuzi ya mwisho, upepo wa mageuzi umeshika kasi, dunia imebadili mwelekeo hakuna ubishi hilo liko wazi. Turufu pekee ni kwakutumia vyombo vya dola kuingia madarakani kama ambavyo chama tawala kimekuwa kikifanya..
Endelea kusubiri facts wakati watu wanasonga mbele.umefika wakati kwa kila ajuaye udhaifu wa Lowasa auanike hapa jamvini. kadhalika kila ajuaye mazuri yake ayaweke hapa. tutasoma na kutafakari na kupima wenyewe. maelezo tu yasiwe maoni. yaani yawe facts about Lowasa and not opinions. humu watu wanaleta opinions badala ya facts au wanaleta opinions na kuzijustitfy na weak factss. ninaposema facts ni lazima ziwe porved beyond doubt full with evidence.
wanaweza kusonga mbele lakini ikawa si na lowasa. basi kama wewe umeona lowasa ni material nzuri ya urais kwa nini watu wasimjadili kwa kuangalia ukweli kuhusu mtu huyu ili mwisho wa siku wakiamua kumchagua au kutomchagua wasimlaumu mtuEndelea kusubiri facts wakati watu wanasonga mbele.
Ishakuwa vry late saiv watz hata hatuuitaji huo upuuzi ambao ww eti unauita ukweli. Hatudanganyiki kirahisi kama anaukweli kwa nn asingeusema bungeni badala ya kukimbilia kujiuzulu? Anasubiri ni nini? Na ili amlinde nani? Kwa masilihi ya nani? mtu yeyote akishajiuliza maswali marahisi kama hayo juu ya hyu mwizi hawezi hata kumdhania kwenye nafasi ya urais mamvi. Kitu nnachokifurahia ni kwamba jamaa hawezi kuonga watz wote kama anajidanganya rushwa ndo ushindi.
Mtasema yote lakini kama alivyosema Ndashenembandu, Lowasa ataendelea kuchanja mbuga!