Siasa ndani ya ccm zimepauka mithili ya kipande cha kaniki

MADABADA

Member
Apr 1, 2012
31
5
Hivi hawa magamba wa CCM wanajisikiaje baada ya kucharazwa bakora za ushindi na peoples? Ni fedhea kubwa kwa Mzee Mkapa,Lowasa,Yule jamaa wa Bunda pamoja na wengine wote.Aibu...! Hata hivyo peoples nao wachape kazi waachane na maandamano yasiyo ya lazima.Sidhani kama kuandamana kila siku ndo suluu ya matatizo ya watanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom