Siasa na mafreemason

Emwaay

Member
Jul 10, 2012
25
0
Kuna mambo tukiwa kama jamii lazima tuyachunguze na kuyaelewa kwa sababu yanatuzunguka au yanasemwa, na ikumbukwe lisemwalo huwa lipo. Ebu tujiulize kuwa na viongozi hasa wa kisiasa waliojiunga ktk imani binafsi ya mafreemason hawawezi kutupotosha kwa namna kadhaa hasa kulingana na sheria za imani hiyo?
 
Back
Top Bottom