Vanpopeye
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 620
- 59
- Thread starter
- #21
ni hivi,siasa nimemaanisha ahadi tu without implementation kama wafanyavyo CCM wetu,mwanzo walituambia tokeo ni early july,leo lini na wanatuambia nn?Sijaona ni kwa vipi siasa imeingia!!mtoa mada naomba ufafanuzi zaidi kabla sijasema hujui maana ya neno siasa!!