Siasa mfumo bagamoyo/gambosh vs siasa mfumo Mungu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,401
2,333
Ndugu zanguni,kwa miaka zaidi ya hamsini Tanzania tumekuwa tukiongozwa kwa Siasa za mfumo wa bagamoyo/gambosh/waganga wa kienyeji...na matokeo yake tumepata kile ambacho wanakimiliki hao watu ambapo ni ufisadi,umasikini,kafara,rushwa,visasi vya waziwazi,etc na mazuri yapo ambapo wana mama wajawazito wanapata neti bure,shule za kata zisizo na walimu,saccos etc,lakini muda umefika ambapo viongozi wetu wanahitaji kutoa macho yao kutoka huko Gambosh,now we need a perfomance ,utawala wa wazi,ambapo kila tatizo linamfikia kiongozi husika kwa wakati pasipo konakona,uongozi ulio tayari kusikiliza mapungufu yake ili kuweza kujirekebisha na sio kuzuia baadhi ya vyombo vya habari (napenda kucha zangu),,serikali ambayo ipo tayari kuchukua hatua ngumu ya kuwaadhibu na kuwafilisi wahujumu uchumi(fisadi),serikali iliyo tayari kufuata utawala wa sheria,ni uongozi upi unaouona unafaa na nini chahitajika?
 
Back
Top Bottom